Girls

Girls

Hahahaha mwambie huyo mwenye mali mkali sana lol...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Nilipokuwa najifunza kurina, babu aliniambia ukikuta mzinga wenye nyuki wakali basi ujue ndo wenye asali tamu...
Sasa farkhina hebu tubonge kando...
 
Alafu nnavyopendaga challenge mm... hapa ndo utanifanya niongeze nguvu
Haya shauri yako mi nshakualart siku hizi ukizidiwa unatumia kitu chenye ncha kali watakuufoo saro mie simo
 
Nilipokuwa najifunza kurina, babu aliniambia ukikuta mzinga wenye nyuki wakali basi ujue ndo wenye asali tamu...
Sasa farkhina hebu tubonge kando...

Na wewe tafuta asali yako....cha mtu sumu shaurilo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Na wewe tafuta asali yako....cha mtu sumu shaurilo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wanasema mjini hapa kushirikiana bana... ukitaka wako mwenyewe mchore. ..
 
Hahahahahahahaahah sasa unaungana nao yaani unaamini hiyo kitu.

Haswaa... tunabanana humo humo...
Alaf wa peke yako peke yako wala si mtam cz hana changamoto
 
Duh hii kali inamaana siku hizi ni wivufree eeeh. Mambo ya mujini hayo lol
 
Wee... mi ni wivuful
Mengine haya kijf jf zaidi
Hhahahahahahaahaha nilifikiri wewe ni wivufree nilitaka kushangaa manake wanasema mtenda hapendi kabisa kutendewa . Ni kama hao wanaosema eti ukitaka wako mchore nao hawako tayari kabisa kushare ila maneno ya jamvini tu wanasema sharing iko poa.
 
Kijiweni ili zinoge sharti stori ziwe na vijimbwembwe kama hivi. But tukirud kwenye serious life... we acha utani. Hashei mtu hapa
 
Mwanamme shughuli not pesa...
Hapa nachanganyikwa sasa wengine wanasema mwanume pesa sura na kibamia utavumiliwa,na wewe tena unasema mwanume shughuli kibamia na pesa utachapiwa mmmh! nimeshindwa nichukue lipi ili niwe mwanaume wa ukweli kwa mwanamke
 
Pesa,pesa,pesa,pesa kaka hakuna kingine.Si pesa nyingi NO but wewe jitosheleze tu utaona unavyowaendesha.
 
Back
Top Bottom