Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,475
- Thread starter
-
- #61
Aseeee๐ฒ๐ฒ๐ฒWengine tumejaaliwa kuwa nazo mpaka sehem izo na nyuma ya magoti
KabisaaaHaha!wana uzi wao sio?
Loooooh we mama weka kapicha basi zile za kwenye nanii kwa juuWengine tumejaaliwa kuwa nazo mpaka sehem izo na nyuma ya magoti
Eeeh... halafu sio za vurugu.. zimepangiliwa vizuri ๐ฅฐ Mungu fundi๐Aseeee๐ฒ๐ฒ๐ฒ
Sim haina camera๐Loooooh we mama weka kapicha basi zile za kwenye nanii kwa juu
Acha hizo mama nanii jaman tunaona tu ili tumsifu Mungu kwa uumbaji wakeSim haina camera[emoji23]
Tumia jina la id yako kuzipata mkuu๐Acha hizo mama nanii jaman tunaona tu ili tumsifu Mungu kwa uumbaji wake
Hizo wameweka hazina uhalisia kama ww ukiweka zako mpyaaTumia jina la id yako kuzipata mkuu[emoji23]
Hakuna jipyaHizo wameweka hazina uhalisia kama ww ukiweka zako mpyaa
Lipo ni vile unakataa tuHakuna jipya
๐ ๐ ๐ ๐Hakuna jipya
Hahahahh kabisaaaDimples plus kamwanya flani hivi amaizing. Unaweza kuhonga mpaka nyumba ya urithi
Kabisaaa mkuuAyeeeeeโฆ. [emoji1666]
Wanameza Fanta hao!!!Hawa wana upekee wao wana nafasi pana sana moyoni mwangu
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Wanameza Fanta hao!!!
HatariiDimples plus kamwanya flani hivi amaizing. Unaweza kuhonga mpaka nyumba ya urithi
Duuuh๐๐Wanameza Fanta hao!!!
๐ ๐ ๐Sawa....