Girls kwa aliye serious

Girls kwa aliye serious

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
natafuta rafiki wa kike ambaye tuje tuwe wanandoa,napatikana mwanza,ni muajiriwa serikalini na cjawahi kuoa wala sina mtoto

sifa za ninae mtafuta
-age 18-21
-maji ya kunde
-mrefu
-mnene kidogo
-elimu 4rm 4 >>>
mawasiliano kbraama78@gmail.com
au ni pm.
akhsante saaana wana Jf
 
Umri huo wapo skuli tena wanaanza necta mwezi ujao....labda usubiri wamalize!!!
 
Umri huo wapo skuli tena wanaanza necta mwezi ujao....labda usubiri wamalize!!!

ni galfriend kasema hata akiwa skul poa ili akimaliza uchumba umekolea waoane... kukurupuka kuoa kabla hujamsoma mtu walau kwa kamda kidogo nayo n ishu.
 
ni galfriend kasema hata akiwa skul poa ili akimaliza uchumba umekolea waoane... kukurupuka kuoa kabla hujamsoma mtu walau kwa kamda kidogo nayo n ishu.

dats true mkuu
 
natafuta rafiki wa kike ambaye tuje tuwe wanandoa,napatikana mwanza,ni muajiriwa serikalini na cjawahi kuoa wala sina mtoto

sifa za ninae mtafuta
-age 18-21
-maji ya kunde
-mrefu
-mnene kidogo
-elimu 4rm 4 >>>
mawasiliano kbraama78@gmail.com
au ni pm.
akhsante saaana wana Jf

Tuwekee LINYAGO Lako Humu JF ili Tukuthaminishe Kwanza Isije Ikawa Unatafuta Mke Wakati Sura Lako Halina Tofauti Na Kona Za Milima Ya Senkeke!
 
Tuwekee LINYAGO Lako Humu JF ili Tukuthaminishe Kwanza Isije Ikawa Unatafuta Mke Wakati Sura Lako Halina Tofauti Na Kona Za Milima Ya Senkeke!

Wenyewe wanasemaga hivi; "mwanaume pesa sura tutavumiliana."
Kijana weka kiwango cha mshahara utampata mke kama kinafaa, ukiweka kianchoanzia ml 1 na hujapata ndani ya masaa3 tatu kaoge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom