Girls born in 1990

Natamani mtu anipe # zako nikutafute uniulize hilo Marianah
 
Hivi kweli unaachaje kuliuliza furushi limepataje namba yako[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wengine kupata namba yako ni laana acha tu muulizwe. Namtaulizwa tu hata tukifika 50.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naomba aeleweke mtoa maada hii
In fact hakuwa amelenga kusema swala la kuulizwa umepataje namba yangu ni swali gumu au sio la msingi
Ujumbe hapa ni
Kujishongondoa kwa vibinti
Kukataa uchumba hata bila sex
Kuwa na masharti kibao dhidi ya mwanaume wa kuwa nae ambapo mala nyingi hakuna kiumbe wenye sifa zote hizo utakayempata
Na mengine kibao ya aina hiyo
 
Kwani wanaume hawajishongondoi kutaka mwanamke mwenye sifa kibao?
 
Mbona nyie mnachagua saana ila hatulalamiki mweeeh.....ila sisi tukimkataa mwanaume bse hatujaridhika naye mnasema tunaringa[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…