Yaani wanapenda kuambiwa kile wanachotaka kusikia tu yaani kwao mtu yeyote anayetetea single mothers basi na yeye ni single mother mtu yeyote anayetetea unmarried women basi na yeye ni unmarried woman mtu yeyote anayewaambia ukweli anaonekana anataka usawa au ushindani nao na mtu yeyote anayewaponda anaonekana ameshawahi kutendwa kwenye uchumba au ndoaUsijichoshe kuanza kuelezea mtu asiekujua mama.
Yani wanaonaga mtu akiwa na vitu wanavyovitamani wao na hawana basi anabrag au hana anaandika kujifurahisha.
Eti JF wote. Kwahiyo kama mtu ana ndoa asiseme? Ni wivu tuu unawasumbua na wameshazoea kuwaweka kundi fulani wanawake wa JF ndio maana wakiona ambae hayupo huko wanapata hasira na kuanza kutoa comments za chuki
Hata wa jf tunaishi mtaani hatuna dunia yetu.Humu wanawake wote ni smart,wameolewa na wanaume wa maana na hata ambao hawajaolewa wana waume watarajiwa smart na wenye pesa. Wacha tukashike masikio waliokata tamaa kitaa
Seems like you have an answer for every question. Trust me,that's not a good sign
Mtu akishakata tamaa ndio basi tena. Lazima ashikwe masikio.
Halafu kwanini mtu uamini anavyoishi mwingine na wewe unatakiwa uishi kama yeye?
Mtu anakwambia hutakiwi kupita 30 hujaolewa, ni wapi waliweka hiyo kanuni? Utakuta wao wenyewe hata mahusiano imara hawana ila wameshupaza shingo watu waolewe.
Wao kuoa wameshindwa wanataka sisi tuolewe na nani sasa?
Msitutishe[emoji3]bro!! don’t take serious these old cargos they are bitter as fvck! you can observe it through their write ups
Ila sisi mnapenda tuwapapatikie ninyi si eti? Na tusipowapapatikia ndiyo hatuna values?don’t take women too serious!! understand your values bro! umekuumiza nini sasa hapo?
Yes I am, young girl.Like 'EVERY' question? Boy are you for real?
aliekufundisha hili neno Mungu anamuona.Msitutishe[emoji3]
Ndicho unachotaka kusikia, haya basi sina mume mimi ni single mother nina watoto kila mmoja na baba yake baba zao walinitenda vibaya hovyo wakaniacha.psychology haidanganyi.. na hakuna kiumbe ambacho kiko transparent kama nyie wanawake!
Akiwa na furaha utajua tu
akiwa na uzuni utajua tu
Akiwa na tatizo utajua tu
Akichepuka utajua tu
ahaha... wewe kama uko kwenye mahusiano basi hauna ndoa/mahusiano ya furaha hata kidogo Marianah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli uhakika hamna hata tukicheza na Simba SCunited vipi leo! ushindi upo?
😀😀😀😀😀Ndicho unachotaka kusikia, haya basi sina mume mimi ni single mother nina watoto kila mmoja na baba yake baba zao walinitenda vibaya hovyo wakaniacha.
Na sasa ninatafuta mwanaume humu JF wa kunioa ili tusaidiane maisha wala hata sina sifa zozote za mwanaume ninayemhitaji nahitaji mwanaume yeyote tu ili mradi awe na uume
Tulia na ndoa yako, tuache na manungayembe yetu.
AsanteHahahaha. Karibu tushangaeeeee
Watanzania tuna ugonjwa wa kujumuisha. Sikushangai!
Mwanamke akiwa na misimamo, mwanaume anashindwa kwenda beyond and above misimamo ya mwanamke. Mnajumusiha ana stress yule, umri ushaenda and blaah blaah. Mwanamke strong needs strong or strongest man, mwanaume legelege ndio hivo tutabaki kusoma uzi zenu.
Wanaume wakitanzania ni waoga sana, hawawezi kudeal na mwanamke anaejielewa. Watabaki kutafuta mwanamke wanaeza kumburuza kama gari bovu. A woman who can't reason neither question anything a man does.
By the way uzi unafungwa saa ngapi jamani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi old cargo tutaendelea kuuliza maswali ndivyo tulivyokubaliana.
Sijui wenzetu mmekubaliana vipi ili tufunge uzi.
We are exhausted[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitajuaje kuwa nia yako ni ya kweli?Hivi swali la kutaka kujua aliye mpa mtu namba yako lina faida gani hasa baada ya mtu kukueleza nia yake ?
Na mambo ni mengiNa kama ilivyo ada muda nao ni mchache...
Na mambo ni mengiNa kama ilivyo ada muda nao ni mchache...
Je nikikutajia huyo mtu ukawa humjui ? Utachukua hatua gani ?
Kisha nikakwambia "Sababu unae ongea nae hapa ndio muhusika mwenyewe na sina nia mbaya na wewe,naomba unisikilize". Je utanipa nafasi ya kunisikiliza ?