Hivi mwanamke mnaanza kumhesabia kuwa ni mtu mzima akishafika miaka mingapi?suburini kwanza tumalizane na hawa fresh commodities akina Saint Anne ambao ndio wanasumbua na hili swali la “namba angu umeipataje”?
Tukimaliza tunawaita na nyie mje mcomment maana nyie hamna jipya na tayari mmeshaanza kua undergo Diminishing marginal return[emoji12][emoji12][emoji12] graph yenu imeshaanza kuporomoka[emoji410]hata mfanye nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nashangaa.
Sorry, umeolewa?
Hivi mwanamke mnaanza kumhesabia kuwa ni mtu mzima akishafika miaka mingapi?
Young n hot[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]I'm 23yrs old
Mwambie huyu aliyevunja ungo juzi..! Festiiya huwa wanajisahau Ngoja malize chuo 2021, ataelewa haya tusemayo.ahahaa!!! unasema tu hivyo maana age bado inaruhusu kutamka haya uyasemayo!
usiombe yakukute wewe!
huwa inafika mahali yaani hata ujipake make up kilo 6, lakini hakuna hata wa kukwambia “dadaa umependeza kweli leo”..... “dada samahani naomba blah blah” .. “dada nisubiri niku...”!! kila dume unayekutana nae anakuangalia mara moja tu kisha anaegeukia kushoto anaendelea na 50 hamsini.
Hali kama hii ikikuta kwa muda wa miezi 6 siku ukipigiwa na namba ngeni hauwezi ukajibu kwa nyodo hata kidogo. tena nikikata simu wewe ndio unanipugia[emoji28][emoji28]
Mwambie huyu aliyevunja ungo juzi..! Festiiya huwa wanajisahau Ngoja malize chuo 2021, ataelewa haya tusemayo.
if you have already hit 28+ wewe tayari ni gazeti la jioni na graph yako ina -ve slope hata ufanye nini.[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Yaani wanaume bwana mnalazimisha kwamba kila mwanamke mwenye umri mkubwa na hajaolewa basi ana mawazo na maumivu! SMH!Mwambie huyu aliyevunja ungo juzi..! Festiiya huwa wanajisahau Ngoja malize chuo 2021, ataelewa haya tusemayo.
Yaani wanaume bwana mnalazimisha kwamba kila mwanamke mwenye umri mkubwa na hajaolewa basi ana mawazo na maumivu! SMH!
Oohh Sawa
ahahaha... mbona kama umeandika kwa uchungu sana!!?[emoji23][emoji23]
Kama unajiona umezubaa zubaa huna mbinu, kuwa tu mkweli. Ila kama mwanaume umefanya research yako na hutaki kukutana na hili swali. Basi unaeza ukaweka appointment katika kitu anachofanya bidada, kama mfanyabiashara, mwambie tu unataka kununua hiyo bidhaa hata kama hutaki.kwa mfano kama wewe unapenda mwanaume akujibuje hilo swali ili uridhike?
Just imagine not living your best life to be someone's wife. And it doesn't happen. Kwasababu muoaji hana masharti mengi kama mganga wa kienyeji.Nani mimi au? Uchungu utoke wapi wakati mimi nina ndoa my dear? Nawaonea tu huruma hawa wanawake wanaokubali to dance to your tunes na kuamini kila maneno mnayowaambia wafalme wa dunia hii! Hehehehe I can imagine them not living their best life just because they want to be called wife materials!
Utasikia ooh ulinipa mbagala wakati mbagala hujawahi fika.Mwanaume anaeshindwa hata kujieleza namba katoa wapi wa kazi gani. Wacha tugonge tu 50. Hilo ni swali gumu lakini huwa mwanamke anatafuta assurance akijua ulipotoa namba atakua comfortable kwako pia sema wanaume hamjui na mnaona hilo swali ni gumu kweli kweli.
Na hao wanawake hawapo humu. Wakawashike masikio dada zao waliokata tamaa kisa ndoa ndio watasikiliza simu hata zinazopigwa na vichaa ili wasifukuze they Mr. Rights.Nani mimi au? Uchungu utoke wapi wakati mimi nina ndoa my dear? Nawaonea tu huruma hawa wanawake wanaokubali to dance to your tunes na kuamini kila maneno mnayowaambia wafalme wa dunia hii! Hehehehe I can imagine them not living their best life just because they want to be called wife materials!
Jina lako na mwaka unaozungumziwa kwenye thread vinaendana....Utasikia ooh ulinipa mbagala wakati mbagala hujawahi fika.
Mwanaume anaepiga simu unamuuliza namba umetoa wapi anajielezea mbona anasikilizwa?
Yapo yale mabolizozo anakwambia nimepewa tu na mtu nataka tuonane tuongee vizuri.
Zama hizi za kutekana uanze kumsikiliza mwanaume asieweza kujielezea inawezekana kweli?
Ukianza kukata viunoo tu nakata simu na sikupokelei mpaka ujue uanaume wako kwa kujiamini uelezee namba umetoa wapi
Humu wanawake wote ni smart,wameolewa na wanaume wa maana na hata ambao hawajaolewa wana waume watarajiwa smart na wenye pesa. Wacha tukashike masikio waliokata tamaa kitaaNa hao wanawake hawapo humu. Wakawashike masikio dada zao waliokata tamaa kisa ndoa ndio watasikiliza simu hata zinazopigwa na vichaa ili wasifukuze they Mr. Rights.
Kwa sisi hata tugonge 40 tutauliza tu namba zilipotoka na hatuwezi ishi kuwafurahisha ili tuitwe wife material