Girls born in 1990

Smart girl.
 
Sasa kuwa Airport kwenda Mwanza inahusiana nini na kutafuta pesa?

Kwahiyo mtu akishakuwa Airport tu anaenda Mwanza basi tuhitimishe kuwa anatafuta pesa?
Nataka kichwa chako kifahamu kuwa si kila anayechat humu muda wa kazi basi yupo tu iddle. Am telling you to think out of the box but you don't think about the box at all. Only God can save you.

And if you didn't know kilichonileta huku ni pesa pia.

Don't reply this, please.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Umefurahi wakati mwenzio mwenzio anashindwa kung'amua kuwa mtu akiwa anachat humu muda wa kazi basi yuko iddle hana kazi na hatafuti pesa. Seriously?

Hivi huko shule mlienda kujifunza ujinga?
Cc FaizaFoxy
 
Wewe na wenzio msigeuze mada ni kuwa ni issue ya namba[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio mada inavyojieleza lakini. Ungeongezea nyama hizo unazotaka tuzione. Yani uweke mambo ya namba afu tudhani unazungumzia mambo mengine. Haiwezekani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio mada inavyojieleza lakini. Ungeongezea nyama hizo unazotaka tuzione. Yani uweke mambo ya namba afu tudhani unazungumzia mambo mengine. Haiwezekani
Hahaha! Stupid questions like......
Anyway, hiyo tushajibu.
 
Mwanaume anazeeka akikosa pesa tu ala akizipata anarudia tena ujana

"Forever you"
 
Sasa naona unataka nijitetee utafikiri kuna viboko!

Hivi kuna mtu anaweza akajilazimisha kuweka vitu visivyo vya msingi kichwani mwake?
Kwako wewe vina msingi ndio maana ukavitilia maanani. Probably upo single and searching.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…