Girls born in 1990

Kuna walioolewa na miaka 24 wakiwa mabikira na ndoa zao zimevunjika au hazina amani na kuna walioolewa na miaka 35 wakiwa hawana bikira na ndoa zao zimedumu na zina amani

Kuna watoto wamezaliwa ndani ya ndoa na mwisho wa siku wakaja kuwa mashoga na wasagaji na kuna watoto wamezaliwa nje ya ndoa na mwisho wa siku wakaja kuwa watiifu na wacha Mungu tukumbuke ili kupata 10 siyo lazima uchukue 5 + 5 tu au 10 + 0 tu hata 7 + 3 au 9 + 1 nk nazo zitakupa jibu 10

Maisha ni kama mtihani ambao kila mtu ana maswali yake tofauti na ya mwingine na watu wanapokosea ni pale wanapojaribu kuigilizia majibu ya watu wengine badala ya kutafuta majibu yanayoendana na maswali yao na ndipo wanapojikuta wanafeli

Hakuna anayechelewa wala anayewahi kila mtu yupo kwenye timezone yake mwenyewe kulingana na kusudi lake hapa duniani na siku tutakapoujua huu ukweli mchungu basi tutaacha kukariri maisha na tutaacha kulazimisha watu waishi kutokana na matakwa ya watu wengine na ili kufurahisha watu wengine
 


Mkuu hiyo ya mwanamke akiolewa bikra lwa umri huo na akaachika ni Moja ya Mia.

Mimi nimeoa bikra.
Kaka zangu wameoa bikra.
Dada zangu asilimia 90 wameolewa bikra.
Mbona ndoa zetu zinadumu.

Mind you kuwa Ukoo wetu ni moja ya koo Kubwa huko kanda ya Kaskazini. Usijedhani tunazaa watoto wawili au watatu.

Yaani kuhusu mwanamke asiye na bikra huwezi nambia kitu.

Kumuoa ni laana na Mkosi kama sio ushetani.

Hakuna tofauti baina ya Mbwa na binadamu ikiwa wanawake wataolewa bila bikra.

Mwisho, Siwalazimishi watu waoe mabikra kwani kila mtu anaamua maisha yake. Bali nahamasisha vijana ambao hawajaoa Wasijeingia kwenye kizazi cha Mbwa naam kizazi cha zinaa.

Kwa wale watakaotaka kuishi kimbwa mbwa hatuwabagui lakini hatutaacha kuwachukulia kama mbwa kula makombo.

Ni hayo tuu.
 
Umuhimu upi wakati lengo la call umeshalijua? Labda tueleweshane na ukishajua namba ilikopatikana unafanyaje au inakusaidia nini ?
 
Yani cha ajabu wanaume kila siku ndio mko busy kuleta uzi kuhusu uzee wetu wanawake, mara umri unaenda. Mbona sie wenyewe hatulalamiki kuhusu umri kwenda. Yani why taking panadol for someone else headache!!?
huu msemo babyface wangu anaupenda ..but women issues iko ndani ya concern ya wanaume,maana mnatiaga huruma sana,,wapo wawili hao wananiwinda kama meno ya tembo,,ati wafiduliwe na wengine uko af waje kwangu tupashe kiporo na tuoane wakati wao tayari wana goli moja mkononi(handicap +1) yaani wana mtoto...hahaahaa wahuni sio watu homie,,tunachagua vifaa vipyaaaaaaaaà
 
Na bado nini sasa? Achaneni nao wanaozeeka oeni wanaopevuka kwani kuna mtu alishawahi kupigwa au kufungwa kwa kufanya hivyo? Mbona makelele mengi sana? Au na ninyi wanaume kinawauma hao wanawake wasipoolewa?
basi baby taratibu...ujue ukikasirika mi ndo napata tabu ya kukubembeleza
 
sure man..unakuta kidada kiko 28+ afu kinajishaua kama kopo la chooni
 
Yani cha ajabu wanaume kila siku ndio mko busy kuleta uzi kuhusu uzee wetu wanawake, mara umri unaenda. Mbona sie wenyewe hatulalamiki kuhusu umri kwenda. Yani why taking panadol for someone else headache!!?
Tunawakumbusha tuu madam
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba hata mwanaume ambaye amefanya ngono kabla ya ndoa naye hafai kuoa maana ndoa yake itakuwa na mikosi na mke wake atakuwa ameolewa na makombo si ndiyo?
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba hata mwanaume ambaye amefanya ngono kabla ya ndoa naye hafai kuoa maana ndoa yake itakuwa na mikosi na mke wake atakuwa ameolewa na makombo si ndiyo?


Wee ndio unataka kusema sio mimi.

Kama mwanaume naye anabikra basi naye anahusika.

Ndio shida ya Mwanamke malaya hawezi kukaa bila kujilinganisha na Mwanaume.

Mwanamke malaya ni sawa na mwanaume shoga.

Wakati mwanamke malaya anajilinganisha na mwanaume. Naye Mwanaume shoga hujilinganisha na Mwanamke.

Mwanamke aliyeolewa bikra ambaye sio malaya kamwe hajilinganishi na Mwanaume.

Hivyo lolote unalofikiri ni sawa kwa muktadha wowote hapo.
 
Yani wewe ndio kiongozi wa mfume dume. Na hilo jina lako inaelekea una roho ngumu kama jina lako
 
Si uchague sasa. Kwani ulishikiwa mtutu kuoa huyo unaesema mzee sijui kashachuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…