First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484
Habari zenyu wadau?yaani nina furaha sana kwamba shemeji yenu mpyaa ambaye tuna kama miezi mitatu ana ujauzito lakini kapewa Ex-boyfriend wake..nina furaha sana kwakua karibuni na mm nitaitwa baba hata kama wa kambo lakini si baba?mr.stepfather yaay
90% naamini umepost hii sread wakati umelewa au umevuta bhange..