Girlfriend wangu mpyaa ni mjamzito

Girlfriend wangu mpyaa ni mjamzito

EXXxxxx kampa ujauzito....si Waoaneee ama ndo MCHEPUKO atakuwa anakuaga anaenda msalimia mzazi mwenzie

hainiingii akilini kama mtori na kiroba cha asubuhi

10537040_453678311436461_183011695839576090_n.jpg
 
Huu ungese sasa umepigiwa mimba we unalea hivi kichwani zimo kweli we mtoto wa kiume?

Sasa wana oa wanawake wenye watoto ni wa ngese pia? Jamaa kamkuta demu ana mimba tayari, wewe ulitakaje? AITOE? Basi hata wanaume wanaokuta demu anaemtaka ana mtoto wamuue huyo mtoto au vipi?
 
Wanao oa au kuchumbia wanawake wenye watoto hawana uwezo wa kuzaa au kama sijakusoma hivi.

si afadhali mwenye mtoto unajua ilitokea nje ya uwezo wako lakini mtu anaenda kuchukua mimba kwa x wake then anarudi uje uleee mmmmmh
 
Lazma uwe mmasai wewe. Huku kwetu kununua mtamba yenye mimba ni bonus, haijalishi.mimba ilitiliwa wapi

cc OLESAIDIMU, Maasai dada
 
Last edited by a moderator:
Sasa wana oa wanawake wenye watoto ni wa ngese pia? Jamaa kamkuta demu ana mimba tayari, wewe ulitakaje? AITOE? Basi hata wanaume wanaokuta demu anaemtaka ana mtoto wamuue huyo mtoto au vipi?

So bora umemkuta na mtoto ni uamuzi wako kumwambia sitaki kukaa na huyu mtoto au lah sasa unaoa mwenye mimba huu ndo ujinga mwenzio kakujazia alafu unatoka kifua mbele eti nitaitwa baba Kwa mimba ya Mme mwenzio!!!
 
Hongeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeera
 
Una hakika gani hatarudiana na bb wa mtt mh unaroho ngumu au labda unburudisha wana jamvi hapa

Sina uhakika,ila she loves me...its all about taking risk...naamini haitoweza kua hivo..
 
hongera stepfather bhana!! mtoto atakuwa anakuita baba wa kambooo,nawe unaitika naam mwanang wa kambo patamu hapoooo
 
Sina uhakika,ila she loves me...its all about taking risk...naamini haitoweza kua hivo..

Vzr kama umeridhika ila ukubaliane na changamoto zote zitakazo jitokeza ninavyojua mm ni ngumu huy mwanamke asiwasiliane na mwenye mtt
 
Back
Top Bottom