Girlfriend wangu mpyaa ni mjamzito

Girlfriend wangu mpyaa ni mjamzito

Lea tu. Kwa hizo akili zako,ukoo wenu ni laana tupu. Mlipe huyo jamaa kukuchanganyia damu kwenu.
 
Huu ungese sasa umepigiwa mimba we unalea hivi kichwani zimo kweli we mtoto wa kiume?

Wat?am just being responsible! Niambie ubaya wake?tel me?
 
wewe huna uwezo wa kumpa mimba au kama sijakusoma hivi

apoo chacha best embu mulze na ww
alf anachekelea kbs "anamimba ya ex wk) kwahyo yy Y kaz yk kulea wtt wa mwanamme mwenzie mmfyyuuu zake
 
Habari zenyu wadau?yaani nina furaha sana kwamba shemeji yenu mpyaa ambaye tuna kama miezi mitatu ana ujauzito lakini kapewa Ex-boyfriend wake..nina furaha sana kwakua karibuni na mm nitaitwa baba hata kama wa kambo lakini si baba?mr.stepfather yaay

We ubuntuX so uyo mpz wk umeanza kudate nae akiwa still inrelation na X wk
 
Sasa mbona mnamwandama sana nyie watu humu ndani utafikiri kamuua Yesu au Mtume?
Mbona watu wana chumbia na kuoa wanawake wenye watoto ambao sio wao iweje mnamtukana na kumwona hafai kisa ana mchumba mwenye mimba ambayo sio yake?
Au kuwa na mimba ni dhambi kubwa zaidi ya kuwa na mtoto? Hao wanawake waliozaa na waka achika na sasa wanawachumba/ husbands si hao watoto walikua mimba kabla? Mbona siskii mkiwa condemn hao wanaume kama amabvyo mmemshupalia UbuntuX?
Nashindwa kuelewa kwanini gf mwenye mimba amabyo sio yako hafai kabisa ila gf mwenye mtoto amabe sio wako ni tatizo?
Na kuna wanawake kabisa humu wanaponda kabisaa kwa roho nyeupe.
Hebu nielezeni why the neanderthilic prejudice o thee heathen creatures?
I think most of you are hypocritical bigots! Ni wanafiki sana mnaomtukana na kumkandia UbuntuX!
Wether hii hadithi ya Ubuntu ni kweli au si kweli haijalishi ila..

Rudini nyuma na mfikirie sio kukurupuka na kufwata mkumbo!
How different is his situation compared to those who marry/date single mothers? THINK yee so called "Great Thinkers"! THINK!
 
Back
Top Bottom