Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

Wakuu imekaaje hii? Nina girl wangu namwelewa sana mzuri nampenda. Sasa majuzi hivi ilikuwa ni Siku yake ya kuzaliwa. Basi ili kumfurahisha nikajichanga na kumfanyia ki party cha kiaina.

Iyo Siku ya party walikuwepo rafiki zake kadhaa na mmoja wapo ambapo nilimuliza akaniambia anaitwa Anna ( isn't real name). Basi party ilikwenda fresh na baadae kila mmoja aliondoka, wengine niliwapeleka mimi na gari kwa sababu ilikuwa night sana na mmoja wapo ni uyo Anna.

Baada kama Siku kadhaa nikiwa nae geto nilimuliza kama wale rafiki zake walifika salama, akajibu ndio. Nikamuliza na Anna je? Akajibu ndio lakini baada ya mda aliniuliza kama nimempenda Anna maana namulizia sana.

Me nikamjibu hapana sio kwa hivyo ulivyowaza. Kumbe yeye akawa serious zaidi na kwenda kumwambia Anna kuhusu mimi. Basi juzi ivi kabla ya sikukuu nikiwa mbishe, Anna kanitafuta kwa simu na kuniambia flani kasema unashida ya kuonana na mimi. Katika kuongea nikajikuta nimemuliza kama yuko tayari tuonane.

Akatiki basi jumapili tuka onana ..kiukweli uyu Anna ni mkali balaa kuanzia shepu mpaka sura yani ameiva kila idara. Tukapiga stories za hapa na pale kufahamiana nini.. badae sasa ndo nikamuliza kuhusu Jenipha( my girl, siyo real name) alimuambia nini.

Mtoto akaanza kutiririka Jenipha kamwambia mim nimwelewa sana na tangu ile Siku ya party nimemwona basi nimekuwa nikimuwaza. Mimi nikamuliza kama yuko single basi akajibu kuwa yuko single kwa zaid ya mwaka sasa.

Nikamuliza pia yuko tayari kuanza relationship akanijibu kama akipata mtu sahihi kwake yeye yupo ok na yupo tayari. Nikashindwa nimkatae vip maana hajui kama rafiki yake ni mpenzi wangu.

Kristmass alinialika na anakaa peke yake, nikashindwa kwa sababu nilikuwa na my girl Jeni. Japo dah! Niliumia kimtindo kukosa huo mwaliko. Sasa tangu juzi tuna chart nakurushiana picha wasap na nini ( sio picha za utupu) kama tuna anza kuwa close vile.

Sasa wakuu nauliza huyu girl wang alikuwa na lengo gani kwenda kumpanga mwenzake wakati yeye anajijua kuwa yupo? Ni mtego gani ananitegea apo? Na uyu Anna nashindwa nimkatae vip maana ni mzuri sana anatamanisha.

Wakuu nishaurini nipige kwa Uyu Anna halafu nimkatae au nimwambie tu ukweli kuwa aliyekutuma kwangu ni mpenzi wangu.?

Kama ni ndefu sana mtanisamehe wakuu, ni ukweli na siyo maneno ya kutungwa.

Nishauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dear frnd,be careful,wanawake tuna akili sana,huo ni mtego wa wazi kbs.Your galfrnd knows each and everything,anakupima.Siku watakubananisha kwny angle, ukose pakupumulia,hutaamini..Hicho ni kipimo mkuu,mwisho ukose bara na pwani
 
acha uzembe THREESOME Hiyo......kwani unaacha alama...ungeleta kuwa ushamaliza kazi je umekosea..ndipo tungeshauri vizuri sana
 
Kuna sehemu sijaelewa hapo juu umesema ilikua night kali halafu ulikua na gari ukawarudisha makwao akiwemo huyo Anna, sasa inakuaje unamuuliza gilfriend wako kwamba Anna alifika salama? Wakati ni wewe uliempeleka? Utanisamehe hua nasoma vitu kwa makini kidogo...embu fafanua vizuri hio script naona kuna sehemu kama vile unafeli...
HII NI CHAI TUPU NIMEUNGANISHA DOTS PIA
 
Kuna sehemu sijaelewa hapo juu umesema ilikua night kali halafu ulikua na gari ukawarudisha makwao akiwemo huyo Anna, sasa inakuaje unamuuliza gilfriend wako kwamba Anna alifika salama? Wakati ni wewe uliempeleka? Utanisamehe hua nasoma vitu kwa makini kidogo...embu fafanua vizuri hio script naona kuna sehemu kama vile unafeli...
Amna bro sjafeli ni kwamba Anna nilimwacha sehemu kama njia panda ivi ndo mana niliuliza kama alifika salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu za kitoto za wadada eti anakupima km anampenda au vipi. Mimi nilifanyiwa hivyo na mamsap wakati huooo! Shida aliyenigonganisha nae dah sio type zangu kabisa. Eti anapanga kidate wanakuja wote halafu anajifanya kaitwa na dada yake anatuacha na Mimi na rafikiye. Mie zangu Watoto wa kitusi dizaink zile yeye anaenda kunigongesha kwa mbantu mwenzangu wote sura paaana pua zetu zinafanana hahaha. Nikamtext niko home na rafiki yako weeee alimpigia simu akataka kujua tuko wapi. Hee bidada akashangaa. Sasa wengine huwa wanaunga wanatafuna tuu
Hahaha kweli mze baba ivi mambo zipogo Sema membaz wanaona kama nazingua vile ..lakini wacha iwe mbaya kam ananipima atanijua tu. Me Anna napiga nayeye akileta nyodo anapitishwa ivi.

Huwaga sina cha kupoteza aise..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameona we uchepuki kabs wakat ye daily analiwa mpk tigo mwanaume kaza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hao mademu watakuokota hadi ukome, jua tu wew ni kichwa panz

Wanapataje ujasili huo?? Wakukueleza upuuzi

Na wew kwa nn umuulizie huyo Anna sana, unatuficha na sisi sema tu kama ulimtaman kweli??? Had kumuulizia kukawa kwingi.

Sasa kama unajijua waga vihela vyako nivyamashaka nakwambia utawakosa wote,
Ila kama unao mtonyo mkubwa fanya lolote maana ata wakikutema unaweza kwenda bar kulewa kupunguza mawazo na kujibebea zigo kali lingine.

NB: punguza kuwaza wanawake sana, find money mkuu. Ukikosa kosa hiyo kitu sana utaaibika
ila kuachwa huwez aibika kama hela ipo

Back
Top Bottom