Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

Pole sana mkuu, girl wako kakufanyia makusudi aone utafanya nini maana amehisi umemtamani rafiki yake, hakuna mwanamke hasa girlfriend anayependa kusikia/kuona una-pay sana attention kwa rafiki zake. Kitu ukiwa nacho unakiona cha kwaida na mbacho huna unakiona cha thamani na kizuri sana na ukisha kipata mchezo unandelea kwa kingine,wasichana wengi wa siku hizi ni warembo sana, wawanaweza kukuhamisha njia, shauri yako utagonga nyanya za watu barabarani halafu mfukoni una mia tu.
Girl wako kaona ulivyodhaifu, kalulengesha ole wako sasa ujae, aisee, kitakachokukuta hutasahau.na isitoshe lao moja wameshapanga, ole wako ukosee!
 
Back
Top Bottom