Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

Kwahiyo bado unaamini Jeni ni girlfriend wako??
Mkuu Jeni hakupendi ndio mana kakuweka kwa Anna. Naongea kama expert wa kuhamisha magoli nikitongozwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kitu ipo wakuu,miaka ya nyuma nilikuwa namgegeda dem mmoja hivi jirani yangu anaitwa Pamela (kwa sasa ni askari polisi) aliwahi niunganishia madem kama watatu nikawala na nikiwa na genye nikimuomba ananipa namgegeda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki kitu ipo wakuu,miaka ya nyuma nilikuwa namgegeda dem mmoja hivi jirani yangu anaitwa Pamela (kwa sasa ni askari polisi) aliwahi niunganishia madem kama watatu nikawala na nikiwa na genye nikimuomba ananipa namgegeda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakupendii ila unamridhisha kitandani. Mwanamke akikupenda lazima atakuonea wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu za kitoto za wadada eti anakupima km anampenda au vipi. Mimi nilifanyiwa hivyo na mamsap wakati huooo! Shida aliyenigonganisha nae dah sio type zangu kabisa. Eti anapanga kidate wanakuja wote halafu anajifanya kaitwa na dada yake anatuacha na Mimi na rafikiye. Mie zangu Watoto wa kitusi dizaink zile yeye anaenda kunigongesha kwa mbantu mwenzangu wote sura paaana pua zetu zinafanana hahaha. Nikamtext niko home na rafiki yako weeee alimpigia simu akataka kujua tuko wapi. Hee bidada akashangaa. Sasa wengine huwa wanaunga wanatafuna tuu
 
vuruga wote........ mwalim kashasha anakwambia “escallated deep cline angle with aerial mist”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu imekaaje hii? Nina girl wangu namwelewa sana mzuri nampenda. Sasa majuzi hivi ilikuwa ni Siku yake ya kuzaliwa. Basi ili kumfurahisha nikajichanga na kumfanyia ki party cha kiaina.

Iyo Siku ya party walikuwepo rafiki zake kadhaa na mmoja wapo ambapo nilimuliza akaniambia anaitwa Anna ( isn't real name). Basi party ilikwenda fresh na baadae kila mmoja aliondoka, wengine niliwapeleka mimi na gari kwa sababu ilikuwa night sana na mmoja wapo ni uyo Anna.

Baada kama Siku kadhaa nikiwa nae geto nilimuliza kama wale rafiki zake walifika salama, akajibu ndio. Nikamuliza na Anna je? Akajibu ndio lakini baada ya mda aliniuliza kama nimempenda Anna maana namulizia sana.

Me nikamjibu hapana sio kwa hivyo ulivyowaza. Kumbe yeye akawa serious zaidi na kwenda kumwambia Anna kuhusu mimi. Basi juzi ivi kabla ya sikukuu nikiwa mbishe, Anna kanitafuta kwa simu na kuniambia flani kasema unashida ya kuonana na mimi. Katika kuongea nikajikuta nimemuliza kama yuko tayari tuonane.

Akatiki basi jumapili tuka onana ..kiukweli uyu Anna ni mkali balaa kuanzia shepu mpaka sura yani ameiva kila idara. Tukapiga stories za hapa na pale kufahamiana nini.. badae sasa ndo nikamuliza kuhusu Jenipha( my girl, siyo real name) alimuambia nini.

Mtoto akaanza kutiririka Jenipha kamwambia mim nimwelewa sana na tangu ile Siku ya party nimemwona basi nimekuwa nikimuwaza. Mimi nikamuliza kama yuko single basi akajibu kuwa yuko single kwa zaid ya mwaka sasa.

Nikamuliza pia yuko tayari kuanza relationship akanijibu kama akipata mtu sahihi kwake yeye yupo ok na yupo tayari. Nikashindwa nimkatae vip maana hajui kama rafiki yake ni mpenzi wangu.

Kristmass alinialika na anakaa peke yake, nikashindwa kwa sababu nilikuwa na my girl Jeni. Japo dah! Niliumia kimtindo kukosa huo mwaliko. Sasa tangu juzi tuna chart nakurushiana picha wasap na nini ( sio picha za utupu) kama tuna anza kuwa close vile.

Sasa wakuu nauliza huyu girl wang alikuwa na lengo gani kwenda kumpanga mwenzake wakati yeye anajijua kuwa yupo? Ni mtego gani ananitegea apo? Na uyu Anna nashindwa nimkatae vip maana ni mzuri sana anatamanisha.

Wakuu nishaurini nipige kwa Uyu Anna halafu nimkatae au nimwambie tu ukweli kuwa aliyekutuma kwangu ni mpenzi wangu.?

Kama ni ndefu sana mtanisamehe wakuu, ni ukweli na siyo maneno ya kutungwa.

Nishauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia na mpenzi wako hata kama unataka kuchapa demu mwingine bora jitaftie ww siyo mpenzi wako ndo akutaftie.
Hapo anataka akuone tu ulivo na tamaa.
Au huenda amekuchoka so anakutaftia sabb tu ya kuachana na ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom