Kama sijakuelewa....yani umemfanyia pati gf wako na akaalika rafiki zake nawe ukiwepo halafu Anna asijue kiwa Jenifa ni mpenzi wako???
Au alijua ni mjomba wa kufikia???
Nieleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app



Wewe ni mwanamke?Inaonyesha uu fisi sana na kalitambua hilo gf wako, kibuti kinakuita.
Ila huyo Anna naye mbandue tuu haviachi alama
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ulivyomjibu muanzisha Uzi unaogofya.
NakaziaWrite your reply...
Mwanamke wako kakuchoka
kaanae muongee muachane kwa aman
Dah inawezekana ikawa kweli.Write your reply...
Mwanamke wako kakuchoka
kaanae muongee muachane kwa aman
Kwa iyo kuna uwezekano nikaachiwa manyoya mkuu.?Mwanamke anayekupenda mkuu hawezi kukufanyia ulichofanyiwa na mpenzi wako
Hapo naona mapenzi yenu yameisha kwenu
Anakutafutia sababu utembee na rafiki yake akuache
Hakuna uwongo mkuu, ni kitu kilichonitokea kweliHadithi yako ya uongo labda ungesema mtu anaye igiza kama GF wako kakutafutia girlfriend mwenza hapo unga eleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa sijajua maana kwanza rafiki zake wengi siwajui.Kama sijakuelewa....yani umemfanyia pati gf wako na akaalika rafiki zake nawe ukiwepo halafu Anna asijue kiwa Jenifa ni mpenzi wako???
Au alijua ni mjomba wa kufikia???
Nieleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda sana. Ila nimeshindwa kumuelewa kwanini kaniunganisha na rafiki yake..ni mwanamke wako au mchepuko wako?. Anyway, Ww gonga zako maisha yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu inaonesha una uzoefu kidogo. Huwa una solve vip situation kama hizi.?Kwahiyo bado unaamini Jeni ni girlfriend wako??
Mkuu Jeni hakupendi ndio mana kakuweka kwa Anna. Naongea kama expert wa kuhamisha magoli nikitongozwa
Sent using Jamii Forums mobile app