Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Mkuu we sio wa zamani. Chiba jamaa kafupisha alimaanisha sonchiba kama sijakosea katika miaka ya 80"-90" kulikuwa na mcheza filamu mmoja wa kihindi alikuwa mlemavu akiitwa sonchiba. Basi tokea hapo walemavu wakaanza kuitwa hivyo.
Mr Bean, , , Kweli we wa kitambo
 
Hivi huko sehem zingine hakuna wapenda mteremko kama akina wema,tunda,nampa P, wolper,shishimbi lole nk?????maana huyo jamaa angekuwa huku kwa umri huo na mihela hiyo na huo mwili asingeoaa kabisa angekuwa anawatembezea tu
 
Nilipata mfahamu jamaa mmoja alikuwa anauza mishkaki kwa waarabu, baada ya muda akawa na ukwasi wa kutosha.majumba,magari,na vitega uchumi sana tu.

kila mmoja alisema lake kuhusu utajiri wa jamaa, oparesheni ya ujangiri ikaja mkumba jamaa kumbe alikuwa anashirikiana na waarabu kuuza pembe za ndovu.

jamaa akakamatwa na mzigo na kuwataja wahusika,ikiwemo matajiri flani wa mjini hapa. tangu hapo mtu ukiniletea habari za fulani aliuza mchicha, mihogo, sijui kababu nakuoa bwege tu.

kuna michakato nyuma ya pazia kwenye haya mafanikio ya watu.
Ah hii komenti imenichekesha sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom