GIMP 2.8 vs Photoshop Who wins?

GIMP 2.8 vs Photoshop Who wins?

for basic editing GIMP and photoshop are almost the same lakini kwa advanced na professional editing GIMP haigusi kwa photoshop. Photoshop ni balaa lingine lile.
 
for basic editing GIMP and photoshop are almost the same lakini kwa advanced na professional editing GIMP haigusi kwa photoshop. Photoshop ni balaa lingine lile.
Vema. Itapendeza zaidi ukaweka hizo feature ili na wengine tufaidike!
 
mi sjatumia gimp ila nauhakika hana software nyingi kama adobe adobe ana mahusiano mazuri ya soft zake unaedit image unaipeleka after effect unaifanya animation unaisafirisha hadi premiere unatengeneza kavideo.

Ngoja ntaidownload leo then ntarudi badae
 
photoshop ni number nyingine kabisaaaaaa
 
avatar28723_6.gif
huyu nae katengenezewa program gani?
 
CTO nilitumia gimp kidogo, yani kwa haraka haraka hata kuisogelea photoshop, kuanzia muonekano mpk functionality, photoshop unaweza kuiextend mpk uwezo wa kufikiri utakapoishia,

kwa sasa photoshop haina mpinzani
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mtumiaji wa Ubuntu na nina Photoshop na GIMP kwa pamoja hivyo ninazitumia zote.

Kwa kifupi ni kwamba, Dunia inabadilika now days, sishangai miaka ijayo watumiaji wa window wakabaki wachache maana sasa hivi kila OS iwe ni chromium, Lunux, Mac n.k wanataka kuhakikisha wanawaridhisha watumiaji wake. Mfano Mac na Ubuntu Linux, hawapendelei programs za size kubwa mfano Photoshop inayozidi size ya 900MB (in a disk and not after istalled), maana programs kama hizo zinapunguza life span ya H.D na Kufragment disk mapema hasa kwa watumiaji wa window na ndio maana inakubidi U-defragmanet disk angalau mara moja kwa mwezi. Pia kuna Bugs nyingi.

Sasa hivi wengi wanatengeneza programs za size ndogo ikitimiza malengo ya program kubwa kwa maana badala ya kutumia zaidi ya 900MB inatengenezwa ya size ndogo ila kwa features zilezile na sifa na ubora kuboreshwa na sio kwa kuuzwa bali as a free software ili kila mtu aipate na anufaike nayo.

Kulinganisha GIMP 2.8.2 na Photoshop kwa sasa Photoshop ina features nyingi ila kwa matumizi mimi ninayoyataka GIMP inaweza kunitimizia na ndio maana nina mpango wa kuondoa Photoshop kwenye Disk yangu. Photoshop kwa future ijayo itakosa soko maana kuna program zaidi ya 9 ambazo ni free na kila siku zinajiboresha kwa watumiaji wake naaamini soon Photoshop itapungua, hata ukisoma missions zake bado haijajipanga vizuri kwa future ijayo. So sorry.

GIMP - The GNU Image Manipulation Program

Darktable PhotoWork Shop nayo inakuja kwa kasi sana kwa lengo la kuwapa watumiaji ambao hawatumii OS zinazokubaliana na Photoshop. Mimi ninaitumia hiyo kwa sana zaidi ya GIMP.

features | darktable

screenshot.png

screenshot-2.png

screenshot-3.png
 
acheni kuongelea masula ya mbele tunauliza kwa sasa mkali nani masuala ya mipango ya mbele hayo ya baadae tunaongelea sasa nani mkali?
 
mi nimedownload hio gimp upuuz tu ya kitoto tena sana tu. Nlivoona hii thread nkajua kitu cha ukweli.

Kama utalinganisha picha na appearence unaweza dhani vinalingana lakini ukianza kuedit unaona upo limoted vitu vingi sana.

Maybe mi beginner kwenye hio gimp hebu nielezeeni unacrop vipi item zenye random shape? Maana sjaona hio option kabisa.
 
Hizo picha na Appearance sio za GIMP ni za Darktable PhotoWork Shop.
 
ukitaka jua how powerfull is PS muulize mtu anayefanya advanced graphics siyo graphics za kuwapaka watu powder ya rangi na kuwafuta chunusi na ku edit edit mtu ukamkarisha kwenye sofa wakat alikuwa kasimama.
Muulize mtu anayefanya what seemed impossible to be possible atakwambia the power of PS
 
mi nimedownload hio gimp upuuz tu ya kitoto tena sana tu. Nlivoona hii thread nkajua kitu cha ukweli.

Kama utalinganisha picha na appearence unaweza dhani vinalingana lakini ukianza kuedit unaona upo limoted vitu vingi sana.

Maybe mi beginner kwenye hio gimp hebu nielezeeni unacrop vipi item zenye random shape? Maana sjaona hio option kabisa.

unaweza tumia path tool/lasso or quick mask kuselect, tafuta manual yake ina maelezo tosha.
 
unaweza tumia path tool/lasso or quick mask kuselect, tafuta manual yake ina maelezo tosha.

inakubali kwenye vitu vinavyojionesha tu ila kama flana ina mistari stari utakesha. Hio uliotaja nimeijaribu.
 
Back
Top Bottom