Ghorofa refu duniani lapambwa kwa rangi za bendera ya Kenya siku ya Jamhuri

Kuna wakikuyu wamesha pitishia pesa Yao ndefu. Chezea wazee wa fursa wewe.
Father Lawd! Ignorance everywhere! Consulates in UAE always request Burj Khalifa to display their National flags during the their Independence day celebrations…but is it free!
 
Nadhani limbukeni ni wewe hapo, bendera kuonekana dk 3 kuna faida gani hapo.

Dah! So Sad,!!!! Pole mkuu
IMG_20191209_230250_804.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mkenya akishinda Nobel prize in physics utaskia wajinga wakiuliza "itawasaidia aje Wakenya?"
Kinachosababisha watu waseme hivyo ni kwa sababu huwa mnaleta hizo habari humu huku mkikejeli nchi zingine za Africa.
 
Kwahivyo wakenya pekee yake ndio waliiona kwasababu ilionekana Kenya? Akili yako ni local sana kama za kuku wa kienyeji.
Akili yako fupi inakutuma kutuambia hiyo kitu imeonekana kote duniani ndio maana ukaandika huo utumbo hapo juu bila kujua imeoneonekana hapo kenya tu tena kwa waliotumia Search engine ya google kwa siku hiyo 😂😂😂
 
Father Lawd! Ignorance everywhere! Consulates in UAE always request Burj Khalifa to display their National flags during the their Independence day celebrations…but is it free!

So how is it relates to the raising of Kenyas flag.
 
Back
Top Bottom