Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Hahahaa Labda mpaka nikushike mkono mkuu ndo utapanda.Asante Prince Kunta Kinte.. Mtoto wa Kunta Kinte ama sio mkuu.. Asante sana so kule juu si watakuwa wanaruhusu watu kupanda sio?..
Hahahaa Labda mpaka nikushike mkono mkuu ndo utapanda.Asante Prince Kunta Kinte.. Mtoto wa Kunta Kinte ama sio mkuu.. Asante sana so kule juu si watakuwa wanaruhusu watu kupanda sio?..
Si kuna lifti kwani ama?Hahahaa Labda mpaka nikushike mkono mkuu ndo utapanda.
Anyway lakini haina shida maana nipo karibu na hapo ntajua tu kabla ya kwenda.. huwa napitaga hapo sema naona kumepoaga sana usiku ndo mana sikudhani kama watu huwa wanaruhusiwa kupanda usiku.Hahahaa Labda mpaka nikushike mkono mkuu ndo utapanda.
ziko kwenye process ya kuzikarabati na kurudi katika mstari kama mpya mchakato unaendelea katika project moja hivi wizara ya elimu. Stay tunedHata hivo yameshafika ukomo wa matumizi nadhani. Na bora wameyafunga kulikuwa na harufu ya kifo pale hasa hasa Hall 2. Ukarabati wenyewe hauwezekani labda wapunguze zile ghorofa zibaki 6 ama wabomoe kabisa