Siku nilipoenda kumtembelea Mr Rocky na hapo ndo ananikaribisha chakula kwa style hiyo
sitaki namtaka yeye
Mokoyo baba mkwe unaye aise jitahidi hata siku moja moja umepelee mahindi na mchele gunia aache ubahili bana
baba ana nyumba kubwa
Ndugu <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Mr Rocky<!-- google_ad_section_end --> tatizo la huyu baba mkwe utafiti ni usela na uchekibobu umemzidi sana, nitaongea na mke wangu miss chagga ambaye ni mwanae
kumbe wewe ndo tulizo la moyo la miss chagga mbona mimi nilitambulishwa kwa mwingine???
Acha kukwepa weye! Hilo ghetto lako kabisa ata miss chagga Kaniambia ukweli!
acha bana?
yaani huyo mtu alienitambulisha alikuwa analake jambo ila nashkuru nimemjua mhusika halisi.
walikupiga shilingi ngapi mkuu?
Huyu utafiti tena asipokua makini anaelekea Kua Yahaya Wa Lady Jaydee!