Ukweli mchungu: Choo Cha ndani kina gharama kuliko chumba Cha kulala

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,485
99,223
Huu Ni utafiti mdg niloufanya ktk sekta nzima ya ujenzi wa nyumba, hasa za makazi

Kuna kitu wengi hatukijui au Kama tunakijua, Basi hatujawai kukaa na kukizingatia Sana.

Kiuhalisia gharama ya kujenga choo Cha ndani Ni kubwa kuliko gharama ya kujenga chumba kimoja Cha kulala na kikakamilika kila kitu.

Wakuu,
Unapozungumzia choo Cha ndani (self)
,Jua Unazungumzia:-

1. Boma lake

2. Sinki la choo na trap yake

3. Wayaring ya maji safi (koki, shower, n.k)

4. Tiles za chini (sakafu) na juu (ukutani)

5. Mabomba ya maji taka

6. Chemba za maji taka mpaka kufikisha mzigo kwenye shimo kuu la nyumba.

7. Tofali za kujengea msingi wa kufunikia mabomba ya maji taka yasipigwe jua,pamoja na kifusi kufunikia na kisha kusakafia ( hasa Kama mabomba yamepita juu juu Sana)

HIZO GHARAMA ZOTE UKIZIJUMLISHA HAZIWEZI KUFIKIA GHARAMA ZA KUJENGA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA KILICHOKAMILIKA

Nawasilisha
 
Heading yako na the way ulivyomalizia hapo chini kwa herufi kubwa ni vitu viwili tofauti kabisa! Binafsi sijaelewa!
 
Back
Top Bottom