swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,253
- 1,475
Usianze mapema stress,ktk ndoa stress zko nyingi so relux bado kuna kutozaa au kuzaa ukioa utagundua kuwa ni ishu kubwa,kuna mke kutaka ndugu zake waishi kwake,kuna mama mkwe aje aishi kwa bintuye km baba alishfark au hawaelewani,kuna kukuta sms za wapenz wake wa zamani possibly wanaendelea,bado mke atapendekeza muda wa kwenda kwao sometime mama yako akiwa kwako.kwa hiyo stress ziko nyingi ukizianza leo hufiki.Na mbaya zaidi mke hata umfanyie harusi kuuuuubwa na mashela makuuubwa hatakumbuka atakapoanza vituko kila ulichofanya ataona Uliamua mwenyewe kupoteza muda na pesa.
Relux mkuu Mpenzi kabla ya ndoa siyo yule wa ndoa hata km ni mtu yule yule ila matendo hutofautiana na utashangaa.
Relux stress bado utazikuta.Nahofu unapoanza kuumiza kichwa kwenye soda na wali wakati ni hiari.