Gharama za safari na mapumziko Zanzibar

Gharama za safari na mapumziko Zanzibar

Nashukuru wa jf tumefaidika wengi,Me ninataka kuoa,natarajia nitakuwa huko kwa mapumziko,naomba kujua bei ya Ndege,kutoka Kilimanjaro to Zenji ni pesa ngapi?

Waliosafiri na ndege toka Kilimanjaro hadi zenji watakujibu vinginevyo wasiliana na mashirika yenyewe ya ndege! Ninachojua ni nauri ya dar to zenji ambayo ni tshs 76,000 kwa flight link!
 
MKUU kama unaenda kwa mapumziko kweli nakushauri usiishie stone town ! Nenda Nungwi! Kutoka stone town hadi Nungwi watakushika Dola hamsini kwa tax, kama ukipanda chai Maharage ni kwenye elfu 2500 hadi 4000!
Ukifika Nungwi kuna beach hotels nyingi, kama Amaan Bungalows, hapa kidogo ni ghali, chumba ni kuanzia dola 70 hadi 150 kwa siku, lkn kuna Nungwi in! Hapo mm ndio nafikiaga mara kwa mara. Bei zao ni mpaka dola 35 kwa night! Kama ukitaka kwenda naweza kukupatia contacts zao!
Chakula ni kuanzia elfu 9 nakuendelea inategemea na aina ya chakula!
Ukiwa huko utasahau mihangaiko yako yote wewe ni kula bata tu!
tena ukiwa mtundu mtundu halafu hujihisi vibaya kuchanganya damu , jasho na totoz za kizungu huku ndo kwenyewe!
 
nami next week nitakuwa huko. Uzi huu umenisaidia sana. Hivi nikija na kiburudisho lazima kuwa na cheti cha ndoa?
 
manta resort ni pemba, mleta thread kasema anataka kwenda unguja.acha kukurupuka

Mwambie mtoa mada abadirishe title inachanganya watu,zanzibar=unguja+pemba! Kumjibu Manta hata kama ipo pemba nayo ni sehemu ya zanzibar!!
 
Usisahau kutembelea Jambiani,Mchambawima,Donge,Mombasa,Nungwi,Kilindi,wete,chakechake etc
 
nami next week nitakuwa huko. Uzi huu umenisaidia sana. Hivi nikija na kiburudisho lazima kuwa na cheti cha ndoa?
hmna hizi ni stori tunaganyana huku bongo. Mimi sikuulizwamna kiburudisho kinaonenekana kibichiiii, si unajua mambo ya kapuya!!,!
 
du na mimi nijipage chrismas tubanane huko!!
 
Karibu zenji.

Huku ukutaka u enjoy tafuta room stone town. Coz sehem nyingi za kutembea na history zipo s/town. So itakua unatembea zaidi kuliko kuchkua usafiri.

Ila hela weka ya kutosha, hasa kwa room na kula. Raha ya likizo u enjoy kikweli. Km alivokwambia Tripo9
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom