DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Magamba mnafuja ela,vp hakuna ukaguzi? Nape kakomba mil 5,kinana mil 7.
Tuanze na CHADEMA
· matangazo ya kualika watu mikutanoni
Gari la chama limetumika kutangaza na wameweka mafuta ya elfu 60000/= tsh
· maandalizi ya mkutano
limetumika jukwaa la chama limebebwa na gari la matangazo
pia madawati manne yameazimwa kwa ajili ya wabunge na wengine wamesimama namzee mmoja kajitolea umeme
· wasanii
ametumbuiza sugu mwenyewe
· usafiri
kila mtu kaja kwa usafiri wake
· mavazi na bendera
hakuwapo aliyegawiwa mavazi kila mmoja kajitegemea
· mapambo
wamenunua ribon nne za rangi ya chama kwa ajili ya kuzungushia uzio 10000/=
· mapambo
wananchi wamechangia jumla 400,000/=
jumla gharama 70000/=
CCM
· matangazo ya kualika watu mikutanoni
wametumia magari mawili moja la chamajingine la kukodi wametangaza siku tatu
mafuta pamoja na ghalama za kukodi gari kwa siku tatu 1,200,000/= + 5,200,000/= matangazo tbc na tbc taifa
· maandalizi ya mkutano
yametumika majukwaaa mawili moja la diamondjingine viongozi la diamond ni la ccm na jingine wamekodi 300,000/=
viti vya wananchi vilikuwa viti 1200 kila kiti 500/= jumla 600000/=
· wasanii
diamond ashasema mwenyewe afanyi shoo chiniya 20 million pamoja na usafiri na hoteli 25,000,000/=
· usafiri
wametumia mabasi manne tu hayo mbunge wamorogoro kajitolea
· mavazi na bendera
chama kimetoa mavazi tisheti 800 kila mojashlingi 1500 jumla 1200000
· mapambo
mapambomajukwaa yote mawili 3,500,000/=
hakuwepo michango japo mabalozi kama 70 kila mtu kapewa 10000/= jumla 700000 + 15000000/= ya live for tbc taifa na tbc1
jumla ya gharama 53,500,000/=
Hutaki unaacha,kwa kuwa masisiem mmezoea kuhonga watu basi ndio imekuwa sheria....
Hapo kwenye red makamanda wamegombea kuponi za Tsh 5000, na Tsh 10000 kuingia kwenye mkutano wa ndani Ubungo Plaza....Upo?Wazee wa kuiga masisiem igeni na hili pia...
Nadhani ni vyema tukajenga tabia ya kuheshimiana. Kwanza muhimu ungesoma post zangu vyema kabla ya kunibandika jina la 'masisiem'. Pili ungekuja na hoja za kuthibitisha niliyouliza. Kwa akili za kawaida ni ngumu kuandaa mkutano wa zaidi ya watu 1000 kwa sh 70,000! Kuna misc costs ambazo lazima zitaingiwa including emergencies nk nk. Sasa ni vyema tukaja na hoja za kueleweka na sio lugha za ajabu ajabu.
Posts : 46
Rep Power : 551
Likes Received33
Likes Given21
hata ujitetee vipi Chadema ni chama pendwa na watu wanakichangia chama....nadhani na wewe ni mmojawapo mwa mliokula ajira mpya lumumba kuwashambulia makamanda kwenye mitandao...masisiem yatawatumieni sana tu...