Gharama za mikutano ya leo kati ya CHADEMA(mwanza) CCM(moro)

Gharama za mikutano ya leo kati ya CHADEMA(mwanza) CCM(moro)

Wanakusanya ruzuku ya 1.3 bilion kwa mwezi, viwanja vya michezo vyote ni vyao, na mali nyingi za umma walizozichukua kutoka mfumo wa chama kimoja! Ukijumlisha na ufisadi wa EPA, MEREMETA, DEEP GREEN, NA SASA JITEGEMEE NA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU! Kwao pesa si kitu! Ila kuinunua mioyo ya watu ni swala lingine Kabisaaa!
 
Kazi kwelikweli!!!! Mleta uzi atakuwa amefanya makadirio kwa kuangalia na kuthaminisha tu. Hiyo inaruhusuwa. Ila gharama za CHD kweli ni ndogo kwa makadirio umewapunja sana. Japokuwa ni kweli kuwa gharama za ccm kwa kuangalia tu zitakuwa zaidi ya maradufu ya wenzao cdm. Vyama vya siasa inabidi vibadili mbinu za kuwafikia walengwa wao bila kutumia gharama kubwa sana ili kuokoa rasilimali kubwa kama mkutano wa ccm morogoro jana. Sijaona sababu ya kurushwa kwenye tv ambayo hakika ni gharama kubwa sana. Sijaona pale jambo la kitaifa sana kuwashirikisha watanzania kupitia runinga zaidi ya kuonyesha ufahari. Inawezekana wakawa wanafikiri watu wanaenda mikutanoni kwa ajili ya kusikiliza viongozi kumbe wanafuata burudani ambazo ni gharama kwao kuzipata ukumbini kwa malipo. Binamu yangu alikuwepo jana morogoro na aliwahi kuniambia kuwa anampenda sana Diamond, bila kutarajia nilifanikiwa kumwona kwenye TV akiwa amevaa T-shirt ya ccm, nikamtumia sms akanijibu 'mambo ya Diamond hayo!!!!' Huyo ni mmoja tu wapo wengi wa aina hiyo.
 
Mkuu tuwekee basi posho za maandamano za viongozi wa Chadema na posho za wafuasi wa Chadema.
 
bado sijajua mantiki ya kutumia wasanii kama diamond kwenye mikutano ya ccm wakati inafanya ziara zake kutafuta suruhisho la matatizo ya wananchi. Hoja: Wasanii hubeba maudhui yapi katika mikutano ya ccm? kama ni kuburudisha wananchi, je wananchi wanahitaji burudani kwa sasa wakiwa wamezungunkwa na umaskini mkubwa? wengine hata mlo wa siku ni kitendawili?
 
kinana na nape wana kazi....chama kmekosa mvuto makundi yamezidi kila mtu anataka urais ndan ya ccm
 
CCM Umefka muda wa kutatua kero za wananchi na kuacha kubeba kna diamond plus kulipa mabaloz ili wazoe wananchi kwenda kwenye mkutano CHADEMA Nazan hawanunui wananchi kuhudhuria mkutano wao bnafs si mfuas wa cdm au ccm bt kikubwa ndan ya ccm amna aliye safi
 
Tuanze na CHADEMA
· matangazo ya kualika watu mikutanoni
Gari la chama limetumika kutangaza na wameweka mafuta ya elfu 60000/= tsh
· maandalizi ya mkutano
limetumika jukwaa la chama limebebwa na gari la matangazo
pia madawati manne yameazimwa kwa ajili ya wabunge na wengine wamesimama namzee mmoja kajitolea umeme

· wasanii
ametumbuiza sugu mwenyewe
· usafiri
kila mtu kaja kwa usafiri wake
· mavazi na bendera

hakuwapo aliyegawiwa mavazi kila mmoja kajitegemea

· mapambo

wamenunua ribon nne za rangi ya chama kwa ajili ya kuzungushia uzio 10000/=

· mapambo

wananchi wamechangia jumla 400,000/=

jumla gharama
70000/=




CCM
· matangazo ya kualika watu mikutanoni
wametumia magari mawili moja la chamajingine la kukodi wametangaza siku tatu
mafuta pamoja na ghalama za kukodi gari kwa siku tatu 1,200,000/= + 5,200,000/= matangazo tbc na tbc taifa

· maandalizi ya mkutano
yametumika majukwaaa mawili moja la diamondjingine viongozi la diamond ni la ccm na jingine wamekodi 300,000/=
viti vya wananchi vilikuwa viti 1200 kila kiti 500/= jumla 600000/=

· wasanii
diamond ashasema mwenyewe afanyi shoo chiniya 20 million pamoja na usafiri na hoteli 25,000,000/=
· usafiri
wametumia mabasi manne tu hayo mbunge wamorogoro kajitolea
· mavazi na bendera
chama kimetoa mavazi tisheti 800 kila mojashlingi 1500 jumla 1200000
· mapambo
mapambomajukwaa yote mawili 3,500,000/=

hakuwepo michango japo mabalozi kama 70 kila mtu kapewa 10000/= jumla 700000 + 15000000/= ya live for tbc taifa na tbc1

jumla ya gharama 53,500,000/=

umesahau na zile miln 140 babu slaa alizojikopesha,,,,hahahahaha
 
Chadomo mtalia 2015 mnadhani kukamata dola raisi kwa umamluki wa ze muzungu
 
jaman ni elfu sabini ndo imetumika ngoja nifatilie stakabadhi hapa niscan niweke

chakula usafiri na pa kulala wabunge wamejigharamia

ndo maana hata ccm hatujaziweka posho zawabunge wenyeviti mawaziri makada na wengine na mkutanoo wa ccm its more than 100million
 
umesahau na zile miln 140 babu slaa alizojikopesha,,,,hahahahaha

unapotosha umma mada hapa ni gharama za mikutano ya jana.Infact nahuzunika na mtu kama wewe ambaye unashidwa kufanya logic reasoning. kila taasisi ina personell policy au Human resource Manual inayoendesha taratibu za hiyo taasisi ili uweze kuretain staff lazima kuwe na motivation ila pia ufanisi uongezeke.hivyo nadhani ni njia mojawapo wa kumotivate watu ndani ya chadema ila wafanye kazi vizuri na waziweze kurubuniwa na elfu 50000. Hii ndo madaktari walikuwa wanataka na wakawanyima ndo maana leo hii ukienda kwenye NGO zenye retention mechanism nzuri utawakuta madaktari kibao wako huko wanafanya kazi.by the way huo ni mkopo na ni lazima arudishe.
 
mh!!! Kwa tathmini ya haraka haraka hii sio kweli
- kwamba viongozi hawakuwekewa mafuta kwenye magari ya
- kwamba hakukuwa na vikao vilivyotangulia kwanza ambapo wajumbe walipaswa kula na kunywa
- kwamba kwenye mkutano hata maji ya kunywa hayakununuliwa
- kwamba hakuna watu waliolipwa kwa kusimamia mambo kadhaa kwenye mkutano
- kwamba hakuan mawasiliano yoyote yaliyofanywa
- hata umeme ilikuwa bure pia

hata kama ni kuipenda chadema nadhani uwe realistic. tumaini makene, unaweza kuthibitisha hoja ya huyu ndugu?

kwa haraka sio kweli,nilikwepo dodoma kwenye mkutano hakuna chupa ya maji ilonunuliwa kwa ajili ya viongozi,hivyo hapo yaweza kuwa sawa,kulipwa watu chadema hakuna labda kuhakikisha red b wamekula,umeme umeambiwa mwananchi alitoa,but yote ya yote sitetei kwan uhalisia wa data ni mdogo ila kikubwa ni kuwa chademai haikutumia zaid ya milion tano kwani hata dodoma ilikuwa hivyo.hii ni upande wa mikutano tu kwan usafiri dom to mwanza ni gharama nyingine nje na mleta mada.kwa ccm naamin ni zaid ya milion 30 kwan nimetonywa na mwalimu mmoja aliyekwepo kwenye bajeti ya maandalizia ,ila bila unafik kama diamond kalamba milion 10,tbc nao chao,jukwaa,mziki nk unaweza fanya tasmin ya haraka.tushauriane kama kupunguza gharama ni kuokoa kodi za watz basi ccm mbadilike kuiga mazuri si ujinga.
 
Hizo hesabu zako zina
dosari kubwa, 70000/ ni pesa ndogo sana. na kama ulimaamisha 700000/ pia
haiwezekani, huo ni uongo au siasa.

Sasa wewe unadhani cdm imetumia kiasi gani? Labda uongeze gharama za magari ya wageni rasmi ambao walikuwa ni wabunge, ktk hili nadhani unajua kuwa wanatumia magari yao. vinginevyo cost ilikuwa kama ilivyoainishwa.
 
Back
Top Bottom