Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

Zanzibar umri wa kuishi upo chini sana kwa utafiti niliyo ufanya wazee wachache saba, kwenye familia kumi ya watoto kuanzia Miaka 30 kukuta wana wazazi wapo Hai ni familia 2 tu familia 8 hazina wazazi wamefiwa na wazazi yani kukuta kijana mkubwa mwenye miaka 45 bado wazazi wake wapo hai ni ngumu, kingine nilicho ona Wazanzibar wanawahi kuzeeka mapema na kuchoka kwa Marathi hii inasababishwa na uraji wa vyakula kutoka nje, utakuta Mzanzibar mpaka ana Zeeland hajawai kula kuku wa kienyeji wao kuku wao ni kutoka Uturuki na nchi nyinginezo na Mchele hivyo hivyo wanapenda Michele ya nje haina ubora. Ukimchukua kuja wa Tanganyika mwenye miaka 20 na kijana Wa Zanzibar mwenye miaka 20 kijana wa Zanzibar anaoneka mkubwa ana karibia miaka 27 kimuonekano.
Kwa hiyo hao kina Ibrahim Bacca na Fei Toto wana miaka mingapi kimuonekano?
 
Utajua mwenyewe na ulilonalo rohoni

Wanadai ni mji wa kitalii!
Kuna jamaa alinidokeza kuwa wenye ndugu majuu huwa wanawatumia ndugu zao mchele, mafuta ya kupikia, sukari, beans, nyanya za kopo nk nk !
Nilishangaa mno! Je wenyeji wavivu? Au ndio uislamu imewadhoofisha wasilime, kufanya kazi au ?!
Very embarrassing aiseee....
mwe
 
Zanzibar umri wa kuishi upo chini sana kwa utafiti niliyo ufanya wazee wachache saba, kwenye familia kumi ya watoto kuanzia Miaka 30 kukuta wana wazazi wapo Hai ni familia 2 tu familia 8 hazina wazazi wamefiwa na wazazi yani kukuta kijana mkubwa mwenye miaka 45 bado wazazi wake wapo hai ni ngumu, kingine nilicho ona Wazanzibar wanawahi kuzeeka mapema na kuchoka kwa Marathi hii inasababishwa na uraji wa vyakula kutoka nje, utakuta Mzanzibar mpaka ana Zeeland hajawai kula kuku wa kienyeji wao kuku wao ni kutoka Uturuki na nchi nyinginezo na Mchele hivyo hivyo wanapenda Michele ya nje haina ubora. Ukimchukua kuja wa Tanganyika mwenye miaka 20 na kijana Wa Zanzibar mwenye miaka 20 kijana wa Zanzibar anaoneka mkubwa ana karibia miaka 27 kimuonekano.
uku Basmati Rice ndo upo kwa wingi, ivo vingine sijafanya utafiti ila nilichokuja kugundua mpaka sasa ni kuwa Wazanzibari wengi wanaishi Oman na Dubai, raia wengi wanaokaa Zanjibar kwa sasa ni kutoka Bara.
 
Kwa hiyo hao kina Ibrahim Bacca na Fei Toto wana miaka mingapi kimuonekano?
Kimuonekano wanaonekana wakubwa kiuhalisia ni wadogo kiumri Mzize atakua kawazidi mbali kiumri
 
Kwa hiyo hao kina Ibrahim Bacca na Fei Toto wana miaka mingapi kimuonekano?
Wazanzibar wanakua haraka kimaumbo na kiumri wanakua bado wadogo, Ukimchukua Kijana wa Kitanganyika mwenye umri wa miaka 30 na umchukue kijana wa Kizanzibar mwenye umri huo huo ukiwasimamisha hapo kijana kutoka Tanganyika ataonekana mdogo kimuonekano, ni sawa na Umchukue kijana wa Kijerumani mwenye miaka 18 na umchukue kijana kutoka Tanganyika ukiwaweka sehemu moja Mtanganyika ataoneka mtoto mdogo wakati umri upo sawa.
 
Mkuu huku wazungu ni kama nyumbani tu, kati ya watu 10 utaopishana nao kwenye maeneo nlotaja apo juu na mengine mengi ambayo sijataja basi 6 kati yao ni wazungu ila sifikiri kama ni sahihi sisi wazawa kuuziwa bidhaa bei sawa na wazungu

hata hao wazungu hawastahili kuuziwa bei hizo. Sisi waafrika ni wapumbavu sana
 
Nilikutana na mtalii mmoja akilalamika kuhusu hotel na vyakula Zanzibar kuwa na gharama zisizoendana akilinganisha na visiwa vya Thailand sasa naanza kumwelewa taratibu.

hilo tatizo linaanzia kwenye serikali
 
TRA haihusiki na mapato ya zenji..
ZRA wanakusanya trillion 1 na ushee kwa kila mwaka wa fedha. Kutoka vyanzo vyao vya Zenji.

Nimekaririshwa hivyo..ila sijiamini sana.Naruhusu kukosolewa..Maana hata Zanzibar sijawahi kufika.

hapana TRA ipo na ZRA pia ipo. TRA wanakusanya Income tax, ZRA wanakusanya VAT. ishu ipo kwenye mambo ya leseni na wenye biashara ndogo ndogo ndio wanaokamuliwa, kila moja hapo inataka kula.
 
Back
Top Bottom