Gharama za kutoka na Mchepuko

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,204
Reaction score
3,983
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.

 
Usemacho ni kweli, ila uhalisia wanaume tuna HULKA ya kuchovya chovya, yaani kutangaza UANAUME wetu, unajikuta tu unatamani kumkamua mtoto wa mtu, nae aonje ladha ya duduwasha. Aone UANAUME wako, na sababu nyingine ndogo ndogo..

Hii ni hulka ambayo wanaume tunayo, sitetei uzinzi ila huu ni uhalisia.
Usemacho ni kweli, wazee tupunguze vyenga vingi, wekeza zaidi home, laki bora umtumie umpe bimkubwa, mke ama watoto.. hata kama wameshapata si mbaya kuongezea.

Katika vita ngumu wanaume tunapigana nayo, basi ni hii ya kutowapelekea moto wengine,
Sisi wanaume tuliofanikiwa KWA KIASI KIKUBWA kushinda hii vita, tuheshimiwe saaana 😄🤣
Kiukweli ni vita ngumu mnooo
 
Michepuko haina shukrani,ipo kimaslahi zaidi

Wa kutoa shukurani ni mchepuko au ni wewe ?

Wewe ndio umeomba kumlala, na umelipia huduma, akushukuru kwa lipi, ugali wa lodge?

We ulitaka umlale bure? Uhusiano hauna mbele wala nyuma. Umezaa nae unasomesha watoto ?qatoto? Asante umemjengea ?, Yani asante akupe ya wewe kumlala yeye ???
 
Kweli kabisa Maka, hakuna ulichobakiza. Wanaume na hulka ya kula hovyo inatutesa sana, hatujawahi kuridhika.
 
Naona umecomment kwa hasira mpaka umecomment mara mbili!

Comment yangu haikubase tu kwenye hela unazolipa after sex

Kuna watu wametekwa na hii michepuko mpaka wametelekeza familia zao,hawa ndio niliowaongelea mimi,
Unakuta mtu mpaka anamjengea Nyumba mchepuko au kumfungulia biashara huku familia yake ikiteseka.
 
Ila kwa namna hali ya uchumi ilivyo, mambo yanabadilika kila siku. Most men can't afford michepuko anymore, ndio maana biashara za kuuza na kununua directly zimekuwa maarufu.

Wakati wewe una budget ya 120k, kuna mwamba anatumia hardly 10k-50k kupata huduma.
Lodge 20k, service 30k, no more no less coz its strictly business.
 
Kweli kabisa Maka, hakuna ulichobakiza. Wanaume na hulka ya kula hovyo inatutesa sana, hatujawahi kuridhika.
Unatoka kupiga muchinga ndani, ukipiga hatia mbili 3, unakuta toto, unatamani umfanye kama ulichotoka kumfanya mwenxie ndani(kuutangaza uanaume wako)
Unaona mtoto mzuri, ana vitu upendavyo, anakufaa kwa matumizi ya kibinadamu.
Unapokea msg, "daddy nimemisi unavyonidinya kwenye meza" bichwa hilooo, unatabasamu moyoni, na kufurahia uanaume wako.
Ni kama vile simba kumiliki majike mengi

Hii ni kwa kila mwanaume, tunatofautiana kwenye kujikaza tu
 
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.

Hiyo 120000Tsh sio umpe mke weka kwenye akaunti uwe unadunduliza zikifika milioni kanunue materials ya ujenzi peleka site.
Ukimzoesha kumpa wife hela kama hizo atakuona tajiri kila siku atakuwa anataka tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…