Napenda kujua gharama za kprint vipeperushi hapa DSM ikoje! NAONA SIKU HIZI VIPEPERUSHI VINGI SNA BARABARANI TENA COLOURED ! Nataka nitengeneze matangazo kwa ajili ya uchaguzi kijijini ...Nataka kutoa mchango wangu kwa ukombozi wa nchii hii kuanzia nilipozaliwa