Gharama za kuprint vipeperushi

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,166
9,376
Napenda kujua gharama za kprint vipeperushi hapa DSM ikoje! NAONA SIKU HIZI VIPEPERUSHI VINGI SNA BARABARANI TENA COLOURED ! Nataka nitengeneze matangazo kwa ajili ya uchaguzi kijijini ...Nataka kutoa mchango wangu kwa ukombozi wa nchii hii kuanzia nilipozaliwa
 
Nicheki PM mkuu tuongee vizuri...me na deal na printing mkuu.
 
Back
Top Bottom