Gharama za kupandikiza mtoto/mimba

DR. Mwaka pia anaezahusika hapa vizuri tu
Za jioni wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada kwa anayejua gharama na sehemu gani wanatoa hiyo huduma!

Pia mawasiliano kama unayo ya huko wanakotoa hiyo huduma !

Natanguliza shukrabi zangu na Mwenye enzi Mungu awabariki!
 
Nawashukuru wote kwa ushauri na maoni yenu Mungu awabariki sana!

Hata wale wenye utani pia asanteni sana!

Niseme kidogo kwa wenye mitazamo tofauti sio kwamba nimependa kufanya hivi la hasha! Na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu na ni mzima kbs hana tatizo la uzazi akatamani kufanya hivi!
 
ABBYA pls nitafute chemba kabla hujaenda huko kutumia mahela mingi!Will not disappoint you
Wenzako watatu walikuwa na matatizo kama yako sasa wana watoto!Kumbuka mm ni Mandingo toka Kyela
Utazaa tu!
 
Za jioni wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada kwa anayejua gharama na sehemu gani wanatoa hiyo huduma!

Pia mawasiliano kama unayo ya huko wanakotoa hiyo huduma !

Natanguliza shukrabi zangu na Mwenye enzi Mungu awabariki!

Nenda MAK IVF centre,ni center mpya na wako vzr sn, mmliki ni mtanzania na kuna madaktari huwa wanatoka india kwa ajili ya kushirikiana naye.Wako mbezi beach....+255222617830/0756889961.Web www.makivf.co.tz. unaweza ukawasiliana nao kwa maelezo zaidi.Pole sn mkuu!
 
Asante ndugu! Shukrani kwa taarifa
 
Hapa ARUSHA ziko tatu mkuu .Moja Iko pale Jacaranda na ingine Iko njia ya kushuka Njiro na nyingine Iko hapa karibu na soko kuu Ila hiyo ya njia ya kushuka Njiro ni ya wahindi na wanaofanya ni wahindi kutoka India kama uko seriously nikakuchukulie number za simu
 
Nawashukuru wote kwa ushauri na maoni yenu Mungu awabariki sana!

Hata wale wenye utani pia asanteni sana!

Niseme kidogo kwa wenye mitazamo tofauti sio kwamba nimependa kufanya hivi la hasha! Na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu na ni mzima kbs hana tatizo la uzazi akatamani kufanya hivi!
Vipi ulishafanikiwa na ulifanyia wapi?
 
Back
Top Bottom