Msaada: Gharama za maisha Wilaya ya Kilombero (Mlimba) zikoje?

Bachelor ll

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,562
6,119
Nahitaji msaada wa kujua kuhusu Mlimba, hasa kuhusu gharama za maisha; bei ya kupanga nyumba, shule nzuri kwa mtoto wa primary (private school), upatikanaji wa huduma za kijamii kama maji, hospital na network, gharama za nauli kutoka Morogoro Mjini mpaka Mlimba na ni aina gani ya usafiri unapatikana, hali ya hewa ya Mlimba, fursa za kiuchumi hapo Mlimba na kila kitu kuhusu Mlimba kiujumla.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom