Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
frozen transfer ndo nini? poleni sana so ana watoto au bado?Alifanikiwa kwa frozen transfer.
Mara ya kwanza twins bahati mbaya akamiscarry.
frozen transfer ndo nini? poleni sana so ana watoto au bado?Alifanikiwa kwa frozen transfer.
Mara ya kwanza twins bahati mbaya akamiscarry.
Hata Nairobi huduma hiyo ipoHuduma hiyo inapatikana South Africa kwa Africa huku kwingine utaliwa pesa yako bure.
Alipatafrozen transfer ndo nini? poleni sana so ana watoto au bado?
ok hyu wangu ilikuwa shida sana kwa sababu ya umri wake mkubwa yaani nimejifunza sana maisha yaani tuzae tu mapema yaaniAlipata
Frozen transfer ni embryo zao waligandisha (hifadhi) ...... then wakaende kurudishia
Duh bora kafanikiwaok hyu wangu ilikuwa shida sana kwa sababu ya umri wake mkubwa yaani nimejifunza sana maisha yaani tuzae tu mapema yaani
ndo hapo shida ila mimi kwa niliyoyaona nimeamua tu kujilipua lolote na liwe yaaniDuh bora kafanikiwa
Kuzaa mapema kuna raha yake (ila wakuzaa nae sasa...maana vimeo vingi mjini hapa)
Hata Nairobi huduma hiyo ipo
Badili tabia? Asante kwa maelezo mazuri na ushauri pia!Kuna mtu alileta tangazo kule jukwaa la magonjwa kuhusu hiyo huduma tz......
Nadhani hospitali ipo sijui mbezi???? Katafute huo uzi
Pia kuna womens clinic mitaa ya mikocheni kama sikosei(nahisi karibu na baraka plaza kuna kibao)
Kwenye ule uzi gharama sijui ilikuwa $10,000??????? (Sina hakika, utafute)
Asante! Nilishamuona dokta na hiyo njia ni mojawapo ya ushauri alinipa!Nina jirani yangu lecturer wa chuo fulani yeye baada ya ndoa walikaa muda mrefu sana bila kupata mtoto. Wakaenda Marekani na mke akarudi na mimba na sasa mtoto wao mkubwa tu na kafanana na baba yake. Kiufupi walikwenda kupandikiza. Sio huyo wapo wengi tu wa kimyakimya. Ila ni baada ya kuhangaika sana ndipo wakashauriwa na Dr.
Ushauri wangu tafuta Dr./ gynecologist atakushauri vizuri wapi na gharama.
Bora umemjibu ww. kuna watu wanajikweza utadhani wao ndo wasaidizi wa Mungu ktk utendaji wake hata neno la Mungu hawalijui. Kwenye biblia Mungu mwenyewe alisema kupitia nabii kuwa siku za mwisho maarifa yataongezekaNina shaka na kiwango chako cha elimu ya dunia na kiroho. Pia kama una mke na watoto wakubwa usiwaonyeshe comments zako, WATAKUDHARAU SANA.
Kwahiyo binadamu aliyezaliwa kwa kupandikizwa hana nafasi mbele za Mungu.
Halafu ninahisi una tatizo la upumuaji kupitia puani hivyo mara nyingi unaachama mdomo kupata hewa. Hivyo kusababisha ubongo usipate oxygen ya kutosha.
BISHA!!
Tafuta ujue kwanza nini maana yakupandikizwa na hufanyikaje na kwanini.
South sio bei kihivyo.weee south uliza bei yake mpendwa ipo juu sana
Ni vizuri akaenda paleHata Nairobi huduma hiyo ipo
Naendelea kukushuru,wacha tushauriane na mwenzangu tufikie muafaka!South sio bei kihivyo.
Nimemuuliza mdau leo.
Yeye alilipa 50,000 rand kwa the whole procedures....
Ingawa vipimo vya awali navyo mnalipia (wanashauri muende partners maana wanapimwa hormones, hiv, homa ya ini, etc etc)
Kuna baadhi ya dawa atalipia but ni cheap haifiki hata rand 5000.....
Ila akienda cape town itapungua kidogo anadai.
Alikaa sa kwa siju 52 the whole procedure ikawa imeisha (including blood test for pregnancy)
Bado namshauri ajikusanye aende SA
mbezi beach ndo wanaanza !Asante kwa maelezo mazuri na ushauri!dr aliyenipa huo ushauri niliona kama anawasifia hawa wa mikocheni kuwa wako vizuri!
Kazi ya Mungu haina makosa.Za jioni wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada kwa anayejua gharama na sehemu gani wanatoa hiyo huduma!
Pia mawasiliano kama unayo ya huko wanakotoa hiyo huduma !
Natanguliza shukrabi zangu na Mwenye enzi Mungu awabariki!