Hahahah kama alifanya kwa dr mganda??? (Hapa nimehifadhi jina loh) mikocheni na karibuni abadilike aisee
Utafanyaje egg retrival bila ganzi (ila kibongobongo kila kitu unatwangwa kavu kavu haishangazi..... hata kujifungua ukishonwa mwendo wa kavu kavu tu





) halafu hapo umetoa 20 m zako.......
Nimeona hapo juu umesema followup ni zaidi ya mara 5 kwa nini wanafanya hivyo?
Nimemuuliza mdau huku alifanya sa alisema as long as upo vizuri kwenye cycle na vipimo vipo ok unaweza anza tiba mara moja..... au ukaenda mara 2 tu kama cycle haipo sawa