Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,688
Shemeg....
shemeg mambo? nakumisije sasa..
Shemeg....
Yote hayo kwasababu mnayaendekeza.....peleka barua ya uchumba na wape uwezo wako kuwa ni kiasi fulani, huna zaidi. Waache wenyewe wapige kichwa na zaidi huyo mwenza wako mwache aelewe uwezo wako, nafikiri atakusaidi kwa hili. Lakini ikiwa uhusiano ni showoff tu kuwa unazo na ukapeleka uchumba kwa mbwembwe subiri yakukute....
shemeg mambo? nakumisije sasa..
mambo swadakta kabisa shemegi yake watu8....
shem umeona mambo ya gharama za mahari na vikorombwezo vingine...mi nafurahi wakati mnanikabidhi dada yenu hamkunikamua saaana...
shem nakumiss ntakutafuta b'dae basi!!
Nakubaliana na wewe MadameX. HIZO NI MBWEMBWE TU Mi kama mzazi au msimamizi sitahitaji michango ya watu. La mhimu ni kuhakikisha ndoa inafungwa, nawawaalika ndugu na marafiki wachache, sherehe ya kupompongeza bw. na bibi harusi inafanyika nje ya kanisa kwa mtindo wa cock tail, pesa nilizowawekea akiba nanunua zawadi nzuri km. gari au nyumba, nakabidhi funguo, sherehe imekwisha na kila mtu anatawanyika kwake. La maana hapa ni kuwasaidia Bw. na Bi. Harusi kuanza maisha, wala si mbwembwe zingine zisizo na maana.Yote hayo kwasababu mnayaendekeza.....peleka barua ya uchumba na wape uwezo wako kuwa ni kiasi fulani, huna zaidi. Waache wenyewe wapige kichwa na zaidi huyo mwenza wako mwache aelewe uwezo wako, nafikiri atakusaidi kwa hili. Lakini ikiwa uhusiano ni showoff tu kuwa unazo na ukapeleka uchumba kwa mbwembwe subiri yakukute....
kaka ushawahi kupenda wewe? chezeiya malavidavi eeh, utaona dunia nzima yupo peke yake.
hivo hivo. mamboz best?