Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,935
- 828,597
- Thread starter
- #41
Pesa huwa na tabia ya kuitana na kualikana
Hili linaweza kuwa jipya kwako... Hata visivyo na uhai kwenye ulimwengu wa roho vina yoho.. Kimojawapo ni pesa ama fedha, ukipenda ziite shekeli.. Ni wazi umeshawahi kusikia watu wakisema.. Fulani bwana pesa imemkubali.. Ama Fulani bwana pesa imemkataa! Licha ya pesa kuitana na kualikana...