Gharama za kulipia ushuru wa trakta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kulipia ushuru wa trakta

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by BUBE, Feb 6, 2012.

 1. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wanabodi. Mimi ninajiingiza kwenye kilimo cha trakta huku Mkuranga maeneo ya Kimanzichana (kuna bonde zuri la Mpunga). Nimeagiza trakta kutoka nje. Napenda kama kuna mtu anajua gharama zinazopaswa kulipia TRA pindi linapofika hapa Bandarini Dar. Trakta imetumika ya mwaka 1999.
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  free, kwa uhakika zaidi nenda ofisi za tra watakusaidia
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hakuna kodi utakayolipa, gharama utakazolipa ni za bandari pekee.
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Utalipa gharama za bandari (port charges) na usajili wa trekta (registration licence) ili upate namba. Kodi nyingine zote zimefutwa kwa matrekta
   
 5. 1

  19don JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  muhimu ukipata copy za document za tractor lodge pad kabisa kuepuka storage
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Na kama ni 90 - 110 hp haitazidi laki 3, lakini inategemea na muda litakaokaa hapoa bandarini
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza mura tracktor free of charge(no vat,duty free) kaka utalipia registration fee kama 160,000/= na port charges 190,000/=
   
 8. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Thanks for advice
   
Loading...