Gharama za kuandika private number kwenye gari zipoje

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,420
Salute!

Naomba mwenye ufahamu juu ya gharama mpya za kuweka namba binafsi kwenye magari, yaani kuwa na plate number yenye jina langu ; pasipo kutumia hizo A-B-C-D zao!

Nataka gharama ya kuandika jina kama walivyo andika kina MASANJA-1, MSOFE, HAPA KAZI TU n.k

Siku nikienda kijijini nataka mji mzima utetemeke maaana VX V8 lang lipo bandalini kwasasa.....

Uzi tayari.....
 
UMESOMEKA MKUU,GARI LA 8M uweka Number Plate ya 5M,Bora hata ungeikatia bima kubwa...
 
Daah tunatofautiana fikra sana,ni vizuri kufanya unachotaka kwasababu ni raha kwako,ila hiyo million 5/10 ya plate number kama inawezekana kawasaidie kijijini kwako hata kwa kutoa misaada kama sabuni,chumvi,sukari,mafuta ya taa,utaheshimika zaidi na kubarikiwa kuliko hilo unalotaka kufanya.

Ni mawazo yangu tu
 
Salute!

Naomba mwenye ufahamu juu ya gharama mpya za kuweka namba binafsi kwenye magari, yaani kuwa na plate number yenye jina langu ; pasipo kutumia hizo A-B-C-D zao!

Nataka gharama ya kuandika jina kama walivyo andika kina MASANJA-1, MSOFE, HAPA KAZI TU n.k

Siku nikienda kijijini nataka mji mzima utetemeke maaana VX V8 lang lipo bandalini kwasasa.....

Uzi tayari.....

Hakuna gari hapo mbwembwe tupu
 
Lipo bandalini! Hongela kwa kurinunua gali kubwa.
 
Salute!

Naomba mwenye ufahamu juu ya gharama mpya za kuweka namba binafsi kwenye magari, yaani kuwa na plate number yenye jina langu ; pasipo kutumia hizo A-B-C-D zao!

Nataka gharama ya kuandika jina kama walivyo andika kina MASANJA-1, MSOFE, HAPA KAZI TU n.k

Siku nikienda kijijini nataka mji mzima utetemeke maaana VX V8 lang lipo bandalini kwasasa.....

Uzi tayari.....
Mkuu, hivi pale kijijini wana huduma ya maji ? Kama hawana kawachimbie kisima ili ubarikiwe zaidi kuliko upuuzi unaofikiria kuufanya. je wana vyoo? kawachimbie hata vyoo.
 
Back
Top Bottom