Mwenye kujua taratibu za kuweka namba binafsi kwenye gari

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,743
22,475
Habari zenu!

Naomba mwenye ufahamu juu ya gharama mpya za kuweka namba binafsi kwenye magari, yaani kuwa na plate number yenye jina la mtu; pasipo kutumia hizo A-B-C-D zao!

Nataka gharama ya kuandika jina kama walivyo andika kina MASANJA-1, MSOFE, HAPA KAZI TU n.k

Nina ndoto za kumiliki gari kama hii aisee, na kwa vile naipenda sana nataka niweke jina langu kabisa. The car of my dream "Land Rover DISCOVERY"

Dmkali.jpg
 
Habari zenu!

Naomba mwenye ufahamu juu ya gharama mpya za kuweka namba binafsi kwenye magari, yaani kuwa na plate number yenye jina la mtu; pasipo kutumia hizo A-B-C-D zao! Nataka gharama ya kuandika jina kama walivyo andika kina MASANJA-1, MSOFE, HAPA KAZI TU n.k Nina ndoto za kumiriki gari kama hii aisee, na kwa vile naipenda sana nataka niweke jina langu kabisa. The car of my dream "Land Rover DISCOVERY"
View attachment 355038
Million 5 kwa miaka mi3
 
Back
Top Bottom