Gharama za kozi za urubani Tanzania

Gharama za kozi za urubani Tanzania

Joined
Jan 30, 2015
Posts
6
Reaction score
4
naomba mwenye ufahamu wa gharama za
kozi ya urubani zinazotolewa pale United
Tanzania Aeronautics College
(www.utac.ac.tz) - Airport Dar es salaam .
Ktk matangazo yaliyo kwenye website
hawajaainisha gharama za masomo
hayo.Pia je kuna vipindi vya jioni yaani
evining classes, ili nikachukue form Tsh
50,000 mara moja kabla sijachelewa.
Mwenye kufahamu naomba anijulishe
 
nitumie nauli hapa buku 5/10 niende nikakuulizie kesho kule airport old terminal au nipm nikupe namba ya mtu wa pale japo yeye ni mfanyakazi wa kawaida
 
Back
Top Bottom