Kila kitu mpk kulink ety watu watch u tube [emoji46][emoji46][emoji46] iko hivi ..ZUIA VIDEO NA PICHA UNAPO DOWNLOAD ZISIINGIE WALA ZISIJIHIFADHI KWENYE CM YAKO NA KUIZAJA BALI ZISIINGIE NA KUAA KWENYE SEVER ZA WHATSAPP TU NA SIO KWENYE CM YAKO TAZAMA VIDEO HII LINK [emoji116][emoji116][emoji116]
Jinsi ya kuzuia picha na video za WhatsApp zisijidownload zenyewe automatically maana zinafanya cm yako ijae na kumaliza mb zako bila ww kufahamu na kupenda tazama video hio link
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Zuia au block notification zozote za mitandao mbali mbali ya kijamii kama WhatsApp, fb nk maana zinakera pale unapokuwa unaangalia video au kuchat nk tanzama hii link[emoji116][emoji116][emoji116]
Samahani nipo nje ya mada.Kama una desktop ama laptop isiyokula umeme inauwezo wa kudownload gb kadhaa kwa siku.
Halotel yako haina halopesa? Unatuma halopesa kisha unanunua salio kupitia halopesa.Samahani nipo nje ya mada.
Unaweza kunisaidia jinsi ya kununua salio la Halotel kwa kutumia Mpesa (Vodacom)
Mi kwangu ipo TMK Super Uniaisee nikajua peke angu. Nyie Vodacom Tanzania mbona mmepoteza maana halisi ya DAR SUPA UNI jamani.!! nawahama naenda halotel bakini na hao wataonunua 500mb kwa 1000TSH wakati wenzenu 1000TSH unapata GBs kwa siku tatu.
240p, tumia site ya simu ya youtube ipo 240p automatic,
Sema sijajua kifurushi cha royal cha 20k na 30k kama speed ikidrop inafanana na 10k. Ikiwa 20k na 30k ni kubwa bora utoe zaidi kupata speed nzuri.
Line yoyote kinakubali mkuu, speed inadrop hadi 50KBPs, unachezea games online sema kukiwa na muingiliano kidogo tu basi ping inaweza gonga zaidi ya 1000ms, hivyo sio reliable kivile kwenye gaming. Kucheza games online tumia Voda.mkuu ichi kifurushi adi uwe na line maalumu na gharama za iyoline zinaendaje!?? na nikimaliza izo gb za kasi na pata speed gani naninaweza chezea game kama pubg na kutimia social network kama instagram
Line yoyote kinakubali mkuu, speed inadrop hadi 50KBPs, unachezea games online sema kukiwa na muingiliano kidogo tu basi ping inaweza gonga zaidi ya 1000ms, hivyo sio reliable kivile kwenye gaming. Kucheza games online tumia Voda.
Insta unatumia fresh tu sema kwenye video inaweza sumbua.
Na kwenye youtube now naweza kuplay hadi 360p, now naangalia uwezekano wa kucheza 480p kama utakuwepo.
Tumia browser google chrome, video ikianza bonyeza 3 dots kwenye bar nyeusi pale juu chagua playback setting kisha 360p halafu angalia kama itakubali.asante sana mkuu nimejiunga ya 10000 ngoja nojarbu kuplay youtube iyo 360p unafanyaje
Tumia browser google chrome, video ikianza bonyeza 3 dots kwenye bar nyeusi pale juu chagua playback setting kisha 360p halafu angalia kama itakubali.
Kinachowaokoa voda ni speed kubwa sana ya internet yao. Kwa speed nadhani ni the best hapa BongoJamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
Menu ipi hioSajili tgo 1500 gb2 kwa week
Menu tafadhali tupatieHamia tigo 2000 gb 1.2 na msg 5000 na muda kibao wa maongezi kwa wiki 1 au 1500 1gb siku 3 na muda kibao wa kuongea
Chagua size yako. Ila nahisi line na lineMenu tafadhali tupatie
Menu tafadhali tupatie
Huku nilipo kuna jamaa analaini ya voda wala haweki vocha bt Kila mwezi anapata GB10 sijui ni ofa gani hii,
Wekeni link yake tubonge nayeMkuu huyo Mr bundle ni mkweli sio wale matapeli? Kuna niliomtumia pesa akasepa nayo