Gharama ya wasanii wa Bongo ipoje?

Gharama ya wasanii wa Bongo ipoje?

Kwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;

Harmorapa ni Tsh.150,000

Keisha ni Tsh.300,000

Makamua ni Tsh.140,000

Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.

Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi

Harusi njema mkuu.
*****, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;

Harmorapa ni Tsh.150,000

Keisha ni Tsh.300,000

Makamua ni Tsh.140,000

Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.

Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi

Harusi njema mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchukue Ruby mkuu, sherehe yako itapendeza sana, na haitakuwa na vurugu.
Yule binti anajua kuimba sana.
Ukiwachukua diamond, alikiba watu watasahau kama sherehe ni yenu. Kwa kifupi watawapuuza maharusi.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Kwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;

Harmorapa ni Tsh.150,000

Keisha ni Tsh.300,000

Makamua ni Tsh.140,000

Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.

Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi

Harusi njema mkuu.
Chalii hiyo ni ugomvi
 
Hivi nyie machalii huna ata [emoji590] bus 6 unakuja mlipa mtu coaster 2 kwa ajili ya harusi huu ni upambuvu tena kwa kutegemea michango
 
Heshima mbele kama tai.

Nataka siku ya harusi yangu nikodi bendi au msanii wa Bongo Fleva, wana gharama gani kwa show ya usiku mmoja?
Wa kwetu, upo?
 
Dimond hawezi kuimba katika harusi hata umapatie Milion 50, Ally kiba naweza kuja kukiwa na Arrangment nzuri na connection za wadau wa Entertainment sio umfate wewe, unaweza mfata akakukatalia au akakuambia milioni 10 wakati wadau wanaweza kukuletea kwa Milioni (mfano)

band nzuri za harusi ni wale wanaopiga copy gharama ni kati ta 500,000 - 1,000,000 (inategemena na location pia)

NB: naomba kazi mimi ni Wedding planner pia
 
Million 7 kwa show

kama kuna kiingilio iyo ni biashara tayari, onana na tale au salam wakupe ret zao (utashangaaa) mpaka kukulipa na kiingilio uweke 50,000 kwenda juu na iwe mliman city au open place kama uwanjani sio katika kumbi za kawaida za kuingiza watu 500-800
 
Back
Top Bottom