Gharama ya wasanii wa Bongo ipoje?

Gharama ya wasanii wa Bongo ipoje?

Mchukue Ruby mkuu, sherehe yako itapendeza sana, na haitakuwa na vurugu.
Yule binti anajua kuimba sana.
Ukiwachukua diamond, alikiba watu watasahau kama sherehe ni yenu. Kwa kifupi watawapuuza maharusi.
Asante kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond hana nyimbo za harusi.

Labda kama unataka kudhalilika hapo harusini.

Ukiambiwa, "Inama Kidogo Shika Magoti, Mimi Nimesimama Kama Ngongoti ......

Au Nyimbo Kama "Twende Nikupigd Nyembe
Mradi mimi natoza kiingilio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;

Harmorapa ni Tsh.150,000

Keisha ni Tsh.300,000

Makamua ni Tsh.140,000

Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.

Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi

Harusi njema mkuu.
Mzee umedadavua kama meneja
 
Diamond hana nyimbo za harusi.

Labda kama unataka kudhalilika hapo harusini.

Ukiambiwa, "Inama Kidogo Shika Magoti, Mimi Nimesimama Kama Ngongoti ......

Au Nyimbo Kama "Twende Nikupigd Nyembe
wewe si mfatiliaji wa mziki wa diamond, ndio kitu nimegundua, Na iyena ya diamond ft rayvany ni wimbo wa msiba
 
Miezi miwili nyuma erick shigongo alipost walaka mmoja akimtaka diamond apunguze gharama za malipo yake kwenye show erick shigongo alisema kwamba alimtaka diamond atumbuize kwenye sherehe za mwaka mpya pale DAR LIVE ila bei aliyotajiwa ikamfanya shigongo aludi nyumbani akalale mameneja wa diamond walimtaka shigongo alipe milioni 80 kwa usiku mmoja kitu ambacho shigongo alikishindwa na ndomaana siku unaona diamond show zote anazofanya bongo ni zile ambazo zipo chini yake yey mwenyew maan Hakuna mtu wakulipa 80M
 
Mkuu nipe bei yake ya show.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna haja ya kuangaika huku jamii forum, nenda Instagram kwenye page ya sallam sk meneja wa diamond kule utakutana na maelekezo jinsi ya kumbook diamond kupitia meneja wake huyo gharama na kila kitu

Kupitia kwenye bio ya sallam utaweza kuwasiliana nae moja kwa moja na mtafikia makubaliano kuliko kupoteza muda wako huku
 
Asante mkuu. Hivi Manager wake ni Tale au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi miwili nyuma erick shigongo alipost walaka mmoja akimtaka diamond apunguze gharama za malipo yake kwenye show erick shigongo alisema kwamba alimtaka diamond atumbuize kwenye sherehe za mwaka mpya pale DAR LIVE ila bei aliyotajiwa ikamfanya shigongo aludi nyumbani akalale mameneja wa diamond walimtaka shigongo alipe milioni 80 kwa usiku mmoja kitu ambacho shigongo alikishindwa na ndomaana siku unaona diamond show zote anazofanya bongo ni zile ambazo zipo chini yake yey mwenyew maan Hakuna mtu wakulipa 80M
Basi inatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom