Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,085
Apo vigwaza mbona yako mengi sana,nenda pale wanapoyalaza pale center,ongea na madereva,unamtoa ya mafuta,na posho yake,anakua anakipigia kazi usiku kwa usiku
Site wapi?!!...Ila sio mbaya sana
Gharama ya kulibeba na kulirudisha...ni ngapi?;
Unajua Nteze Mzee wa kokoto ametokea wapi Hadi kuwa ni hizo mashine?!!..long time kitambo kutoka udalali Hadi kuwa na mashine siyo Jambo dogo aiseeKabisa kuna jamaa mmja tuko hapo kunduchi smbdy ntez ana mashine kama 7 za kuungaunga
Lkn znakodishwa
Hao walizozifungia ndan utakuta hawajichanganyi,zunguka matabata dampo
Jenga urafiki na ma OP hapo kazi zitakujiaa kama mvuaaa
Ova
Mkuu umepata kwa bei gani?Nataka nichimbe lambo la kuvuna maji ya mvua hapo MwembengoziGharama yako ni nafuu sana Chief
Ila
Nimeshapata jamaa,na hapa lipo kazini
Wana Jamvi
Nawatakia furaha ya kudumu katika maisha yenu.
Naomba kujua bei ya kukodi Buldozer kwa ajili ya kusafishiwa eneo langu....na kwa siku lina kula mafuta(Diesel)kiasi gani?!
Shukran sana
Mbarikiwe
Yah...namjua vzr sana katoka mbali sanaUnajua Nteze Mzee wa kokoto ametokea wapi Hadi kuwa ni hizo mashine?!!..long time kitambo kutoka udalali Hadi kuwa na mashine siyo Jambo dogo aisee
MsuaSite wapi?!!...
Ila nina plani ya kuchimba Bwawa moja au mawili kwa ajili ya kutega majiMkuu umepata kwa bei gani?Nataka nichimbe lambo la kuvuna maji ya mvua hapo Mwembengozi
Unauza au una kodisha?Mkuu hauhitaji na concrete mixer machines?
Mafuta lita 2000 na operator 50,0000 usafiri wa lowbed inategemea na umbali town trip ni laki 6 mpaka 8Bei ipo za 800,000 na 1,000,000
Kwa masaa 8
Ova
Yanaitwa lowbed na yanasafirisha kwa kibali maalum toka TANROAD na mwisho wa kutembea ni saa 12 jioni.. Kibali kinalipiwa na kinaombwa siku moja kabla na sometimes kuna escort inatakiwa1,gharama ya mwenye chombo ni laki kwa saa,
2, je hujawahi kuona yale magari yanayobeba vijiko,matrekta au bulldoza barabarani?,
3,nenda manispaa au uliza mtu aliyepo morogoro!
Horse power ngapi hii bossNinayo
D 4
Komatsu
+255714908121
450000 per Day
Mafuta na Operator juu yako
Tupo Makumbusho Dar es salaam
Karibu sana
View attachment 1868398
View attachment 1868399
Komatsu D4 35 millions tshWakuu
Hii kazi inahitaji Subra sana
Kama unapata hela za maana ...ni bora ununue hizi mashine na ufanye kazi zako mwenyewe huku ukizikodisha kwa Watu wengine
Hii ni ya kufanyia kazi zako tu
Hata ukitaka kuikodisha unaweza!!!...baada ya D4 ndio D6Hii ni ya kufanyia kazi zako tu