Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
- Thread starter
- #21
Gharama si kubwa sana...ukilinganisha na kuwakodi watu wafyeke msitu..wachome...watoe visiki..vikiambatana na usumbufu nkKumbe hayana ghalama sana
Ni bora haya Mabuldoza
Gharama si kubwa sana...ukilinganisha na kuwakodi watu wafyeke msitu..wachome...watoe visiki..vikiambatana na usumbufu nkKumbe hayana ghalama sana
Kumbuka hili ililopost halipiti barabara ya lami lazima libebwe,another costGharama si kubwa sana...ukilinganisha na kuwakodi watu wafyeke msitu..wachome...watoe visiki..vikiambatana na usumbufu nk
Ni bora haya MabuldozaView attachment 1867417
Aa km :/... a aGharama si kubwa sana...ukilinganisha na kuwakodi watu wafyeke msitu..wachome...watoe visiki..vikiambatana na usumbufu nk
Ni bora haya MabuldozaView attachment 1867417
Jaribu kuongea na dreva anaweza kuelekeza namna ya kuwafikia-hawawezi kataa ukiwaambia utawapa ya mafuta-baada ya pale wanaweza kuambia gharama halisi na kwao inaweza kuwa tu ya mafuta.Tatizo ni Waturuki
Maana site yangu ipo krb kbs na Station ya Treni ya Umeme
Kumbe haya madude yanabugia wese sio mchezoZipo mashine znakula disel lita 180 mpaka 200
Kwa masaa 8
Ova
Hatar sanaKumbe haya madude yanabugia wese sio mchezo
Lazima ibebwe na loadbed hapo kna gharama yakuibeba kuipeleka site na kuna gharama ya kuirudisha site na gharama zote ni juu yakeKumbuka hili ililopost halipiti barabara ya lami lazima libebwe,another cost
OkLazima ibebwe na loadbed hapo kna gharama yakuibeba kuipeleka site na kuna gharama ya kuirudisha site na gharama zote ni juu yake
Hapo ana gharama kumlipa OP,gharama ya mafuta pia juu yake
Ova
Ndani ya lisaa lina uwezo wa kusafisha hekari ngapi1,Gharama kwa saa wengi wao wanatoza 100,000/- kwa saa moja, hivyo itategemea kwa siku limefanyakazi kwa masaa mangapi.
2, Diesel kwa wastan ni lita 160-200 kwa masaa nane lakini pia itategemea ugumu wa hiyo kazi na ulaji wa mafuta wa chombo chenyewe au dereva
3, Operator utamlipa 50k kwa wastani kwa siku/saa 8
4,Gharama za kulichukua na kulirudisha ni zako hivyo mtaelewana na mwenye chombo/kampuni na inategemea na mahala unapolitoa na kulipeleka.
Unatoa 100'000/= kwa saa na bado diesel ni juu yako. Sikuwa najua hili.inawezekana ikawa hivyo ndugu, piga hesabu ya laki moja ya chombo kwa saa, jumlisha na lita za diesel itakayotumia,jumlisha na hela ya operator...mi nakumbuka nilikuwa natumia milion moja na laki nane na elf 65 kwa siku.
Mashine nyingi hufanya kazi masaa 8 kwa sikuUnatoa 100'000/= kwa saa na bado diesel ni juu yako. Sikuwa najua hili.
NinayoWana Jamvi
Nawatakia furaha ya kudumu katika maisha yenu.
Naomba kujua bei ya kukodi Buldozer kwa ajili ya kusafishiwa eneo langu....na kwa siku lina kula mafuta(Diesel)kiasi gani?!
Shukran sana
Mbarikiwe
Kumbe ni jirani yanguUnapatikana wapi?
Na
Mm nipo Kijiji cha Msua mbele ya Kwala
Gharama yako ni nafuu sana ChiefNinayo
D 4
Komatsu
+255714908121
450000 per Day
Mafuta na Operator juu yako
Tupo Makumbusho Dar es salaam
Karibu sana
View attachment 1868398
View attachment 1868399
Ila sio mbaya sanaNinayo
D 4
Komatsu
+255714908121
450000 per Day
Mafuta na Operator juu yako
Tupo Makumbusho Dar es salaam
Karibu sana
View attachment 1868398
View attachment 1868399
Hivi mrangi vipi una idea biashara ya kukodisha vitu kama Vijiko, backhoe loader, excavators nk ikoje? Inalipa sehemu kama Dar? Kuna ushindani sana? Mshana Jr saidia na wewe kama unajua please!Mashine nyingi hufanya kazi masaa 8 kwa siku
100,000×8
Hapo labda useme naye vzr mwenye mashine akupunfuzie masaa
Gharama ya disel,OP,ubebaji kulitudisha juu yako
Ova
Nna na idea na kwa morogoroHivi mrangi vipi una idea biashara ya kukodisha vitu kama Vijiko, backhoe loader, excavators nk ikoje? Inalipa sehemu kama Dar? Kuna ushindani sana?
View attachment 1869072
View attachment 1869071
Asante sana mkuu.Nna na idea na kwa morogoro
Maana kna harakati fulani nawakodi
Jamaa na kna wakati ukiwakodi utakuta
Mashine zishabukiwa
Biashara hii inawalipa sana,sema umakini tu kwenye usimamizi na utunzaji wa mashine
Hata kwa dar pia,miradi mingi inayofanyika wnakodi mashine mbali mbali
Ova
mkuu inategemea na eneo jinsi lilivyo au kutokana na uchafu uliopo,
mwaka jana nilikodisha kusafisha shamba lenye maotea ya mkonge/sosolana kuna baadhi ya maeneo yenye miti na vichaka vikubwa ilikuwa inapiga heka tatu tu kwa siku, sehemu nyingine heka 7-8 kwa siku, na kuna sehemu ilikuwa na tope ilipiga heka 1½ kwa siku, la mhimu ni kutafuta mtaalamu acheki hilo eneo kwanza akupe hesabu kamili ili ujipange, yasije kukuta ya kwangu baada ya pumzi kukatikia njiani na kurudisha dude la watu!


Kama una mpango huo chukua mashineAsante sana mkuu.