Kutosha au kutokutosha itategemea mambo matatu:
1. Ukubwa wa nyumba
2. Finishing ya nyumba
3. Jeografia ya eneo unapojenga
Ukubwa wa jengo utakupa kiwango cha material, kadiri inavyokuw kubwa ndio kadiri gharama inavyoongezea
Finishing ya jengo hii inaathiri sana gharama amini kwamba kuna jiko na choo hio hela haitoshi so itategemea sana finishing yako ipoje
Jeografia ya eneo unalojenga itakwambia gharama za kusafirisha material, upatikanaji wa material, bei za material, aina ya ujenzi kama ni msingi mrefu au mfupi, na uchumi wa eneo husika utakupa gharama ya fundi.
Ila muhimu wewe anza tu kama umeamua kujenga