shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Kama una kiwanja tayari inatosha!..
nimekukubali aisee ni wapi kiwanja 1m?Inatosha na chenji inabaki hata Kama huna kiwanja.
1.Nunua kiwanja cha 1m vipo 15 kwa 15.
2.Chimba karo moja tu laki 1 na nusu,kulijengea na kulipiga zege kwa juu utaongeza laki 3 itajumiasha kokoto za elfu 80,cement 50k,mchanga yebo ya 50 na ufundi 120k.
3.utanunua tofali 700 sh 700k kuzijenga zote Hizo ni 250k gharama ya kuchimba msingi ni 40k.
4. Nunua bati 20 kwa 240k nunua mbao 20 za 4 by 2 na 20 za 2 by 2,gharama za mbao ni 240k na vifaa vidogo waya,misumari jumla 20k na ufundi 100k.
5.Nunua Dirisha 3 kwa 240k na mlango mmoja tu wa mbele kwa 150k na ufundi kuweka 40k.
6.Nunua yebo mbili kwa 100k na cement mifuko 10 kwa 120k kwa aioli ya floor na plasta ndani.
Kuna chenji Kama 1m imebaki kwa ajili ya nyavu dirishani,plaster nje,kuweka wiring,kununua pipe za chop,kununua sink la chop etc......Chenji inabaki bado.
Inatosha na chenji inabaki hata Kama huna kiwanja.

duuh katika maisha yangu sijawai kuona mtu mjinga na mpunbavu na mpotoshaji kama wewe