We nawe umeshindwa hata ku crop hiyo picha. Picha na maelezo ya juu picha ni kinyesi na mkate. Maelezo ni Dr.Doroth,picha ndo hao unaowajua wewe.
Wameenda msafara wa watu 28 lakn kati ya hao wanamichezo n 3 TU kwa hyo viongozi Ni 25Leo hii nchi ya kusadikika ya wagagagigikoko imepeleka wanariadha wangapi vile?
Wapo watatu na ujumbe mzitoLeo hii nchi ya kusadikika ya wagagagigikoko imepeleka wanariadha wangapi vile?
Duuh viongozi wote hao wanaenda kufanyaje sasa??Wameenda msafara wa watu 28 lakn kati ya hao wanamichezo n 3 TU kwa hyo viongozi Ni 25
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
DuuuhWameenda msafara wa watu 28 lakn kati ya hao wanamichezo n 3 TU kwa hyo viongozi Ni 25
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndio ujue akili zetu zilivyo wabongo USA imepeleka wanamichezo 250 viongozi 10Duuh viongozi wote hao wanaenda kufanyaje sasa??