mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,728
Yaani kuna wanaotafuata watoto na kuna wanaowapata na kuwafanyia ukatili huu.Inasikitisha sana kuona picha kama hizi. Si kila binadamu ana sifa ya kuwa mzazi.
Yaani kuna wanaotafuata watoto na kuna wanaowapata na kuwafanyia ukatili huu.
Psychologically huyu mtoto ameshaharibiwa atakuwa ni mtu mwenye woga hata kuongea kile anachokiamini.Inasikitisha sana aisee kwa mtoto kudhalilishwa kiasi hiki na binadamu yeyote yule achilia mbali awe Baba yake.
Psychologically huyu mtoto ameshaharibiwa atakuwa ni mtu mwenye woga hata kuongea kile anachokiamini.