Ghana: Mtoto wa Miaka Mitatu APIGWA VIBAYA na baba yake kwa Kujisaidia KITANDANI

Najihisi uchungu sana juu ya huyo mtoto
Babaye afungwe na apewe adhabu ngumu huo ni unyanyasaji kwa mtoto.
 
Ni kweli mtoto wa miaka mitatu akikojoa kitandani ndio anakumbana na kadhia hii hadi mdomo umepinda?

Aiseeee
 
Miaka ya nyuma tuliishi familia yote huku tukiishi na mtoto wa ndugu yetu, alikua ana miaka 5 kipindi hicho, ilikua akikosea simpigi, nampa adhabu, mfano kumkatia ile michezo yake kwa siku kadhaa, kumnyima kuangalia tv, kumkataza kwenda kucheza, atakula mkate na chai siku zote za adhabu n.k

Mama akawa anakasirika kua ni bora niwe namchapa kuliko hivyo, old school parenting bado inaona bakora ni jibu la kila swali. Mimi nikaacha kumpa adhabu, dogo alikua analamba bakora si mchezo.

Sasa hivi nunda, yuko kidato cha kwanza lakini anajikojolea, hiyo dalili inareflect bakora za utotoni. Nikirudi nyumbani hua nalala naye, maajabu yake nikiwepo mimi hajikojolei.
Fimbo sio jibu kwa kweli!! Daaah sio jibu kabisa .
. Japo hapo penye kula mkate na chai pamenipa shida kidogi
 
Fimbo sio jibu kwa kweli!! Daaah sio jibu kabisa .
. Japo hapo penye kula mkate na chai pamenipa shida kidogi
Hagusi chakula ambacho familia itakula. Yeye asubuhi mchana na usiku ni mkate na chai tu.
 
Tumbo limenikata , kuna wakati huwa natamani na wanaume wangebeba mimba wazae kwa uchungu , sidhani kama angeyafanya haya
Hatukatai mtt kuadhibiw ila c kw kiwango kama hiki
Mbona wanawake pia wanafanya unyama zaidi Kwa watoto ingali wao wanabeba mimba na kuzaa Kwa uchungu.

Cha msingi ni kuwapenda wale tuliowaleta duniani na kuwajali pale anapokosea ni kumfundisha sio kumtendea mabaya kama hayo
 
Hapana, unakuta wengi wamefanyiwa ivo ivo wakiwa wadogo,...
Mkuu kuna vitu mtu anafanyiwa utotoni na vinamwthiri ukubwani. Akili ya binadamu Ina uwezo mkubwa sana wa kuhifadhi matukio, kuna nyimbo ambazo ukizisikia zitakua si ngeni kwako lakini hujawahi kuzisikia na utashangaa mama yako akikwambia mziki huu nilikuwa ninaupenda sana nikiwa mja mzito kwako.
 
Mkuu kuna vitu mtu anafanyiwa utotoni na vinamwthiri ukubwani. Akili ya binadamu Ina uwezo mkubwa sana wa kuhifadhi matukio, kuna nyumba ambazo ukizisikia zitakua si Nguni kwako lakini hujawahi kuzisikia na utashangaa mama yako akikwambia mziki huu nilikuwa ninaupenda sana nikiwa mja mzito kwako.

Ni kweli watoto wako sensitive sana na mambo,..utakuta msichana anapenda sana wazee au wanaume wenye amli za kibaba[father figure],..utakuta wakiwa wadogo walikataliwa na wazazi wao,..sasa wanatafta comfort,..
 
Jamani jamani, duh hata jambazi ana upendo kwa mwanae, huyu baba yake vp! Mtoto mdogo kujisaidia kitandani ni moja ya changamoto ya ulezi. Au huyu baba ye kajikuta mkubwa tu hakulelewa? Mraaaa! aaargh, angekuwa karibu ningemghecha na kula maini yake tomb......oko zake
 
Mkuu wengine wanafanya ujambazi ili watoto wao wasome
 
Mkuu wengine wanafanya ujambazi ili watoto wao wasome
Sahihi kabisa, sasa huyu utakuta ni mtu wa kawaida tu na anafanya hivyo, au hajui kuwa utajiri wa maskini ni watoto wake? Dah! Inasikitisha kwa kweli.
এই লোক কঠোর শাস্তি দাবী করে, অন্যদের কাছে একটি পাঠ তার মত আচরণ করা
 
Labda anahisi si damu yake, huwa kuna chuki hujengeka kiasili hayo yakiwepo. Dhambi sana kumsingizia mtu mtoto, hatakuja ampende daima.
 
Jamani jamani, duh hata jambazi ana upendo kwa mwanae, huyu baba yake vp! Mtoto mdogo kujisaidia kitandani ni moja ya changamoto ya ulezi. Au huyu baba ye kajikuta mkubwa tu hakulelewa? Mraaaa! aaargh, angekuwa karibu ningemghecha na kula maini yake tomb......oko zake

Na wew utakua tofauti gani na uyo,..
 
Back
Top Bottom