Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,984
- Thread starter
- #21
Nimepata mkuu kwa bei kitonga 2milMkubwa jaribu kupitia hii pdf niliomba quotation kutoka kwa muuzaji huko alibaba
Nimepata mkuu kwa bei kitonga 2milMkubwa jaribu kupitia hii pdf niliomba quotation kutoka kwa muuzaji huko alibaba
on fleekGhalama = gharama
Tiler = tiller
Na ndiyo sijaisoma post yote.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hello msaada kiongozi na Mimi nahitaji hiyo power tiller nisaidie naipataje au niunganishe na huyo supplier wako aliyekuuzia. Pls its urgentNimepata mkuu kwa bei kitonga 2mil
Mi pia nahitaji hiyo power tiller wadau hats ikiwa na jembe tu
Nichek watsapp 0757409390kuna
Ni pm contact yako nikutafte watsappTuwasiliane maana kuna mzigo mpya umeingia, bado bei ni 2 mill complete
Nahitaji power tiller Kubota ya kulimia kwenye mpunga ntajie bei ni shilling ngapi. Tafadhali nusaidieniWakuuu,nimejaribu kupitia nyuzi mbalimbali zinazohusu power tiler lakini nyingi ni 2012 kurudi nyuma. Pia watu wengi wameshamaliza mizigo hiyo. Sio kwamba hazipo mtaani,zipo ila bei si rafiki sana,nimejaribu kuangalia mitandaoni nimeona kuna uafadhari iwapo itaagizwa moja kwa moja.
Kupitia alibaba bei zina range US$80-150 kwa used, na 500-1200 kwa mpya kwa seti moja. Kilichofanya nije hapa ni kubadilishana mawazo juu ya njia bora ya kununua hizi mashine.
Mtaani bei ni Tsh 3.5mil-11mil,ukiangalia hizi bei ni km Mara tatu ya zile za mtandaoni.TUSAIDIANE KATIKA
GHALAMA NA TARATIBU ZA USAFIRISHAJI
Watu wanaoagiza magari anaweza kuagiza moja na akaletewa,je kwa upande wangu naweza kuagiza seti moja tu! Na nikaletewa?. Pia nimeangalia mizigo mikubwa huwa kwenye makontena,lakini powertiler set moja ni box moja tu la mbao,je kunauwezekano wa kusafirishwa katika hali hiyo?
Pia ghalama za bandalini zipoje kwa upande wa powertiler au hupigwa hesabu kwa kontena zima?
Tusaidiane maana isije kuwa ghalama ni kubwa kuliko za mitaani au nikalizwa tu mitandaoni
![]()
UPDATES: NIMEPATA POWER TILLER MPYA
Nawashukuru wadau wote kwa michango ya mawazo na wengine mliokuja PM kunipa muongozo n.k. nilipoona mipango imeyumba niliipeleka hela kwenye kilimo. Mwaka huu nimepata 8mil na katika pita pita mtaani nikapata taarifa juu ya power tiller zinazoizwa na mbunge wa mbarali kwa bei ya 2 mil ikiwa full kila kitu eg disc plough, Rotavator, iron/Cage wheels+trailer.
Mwezi may 27 2018 Nimechukua hiyo na mpaka sasa inapiga kazi za kusomba mchanga,tofari na mazao nimerudisha kwa hiyohiyo.
Nimenunua Amec 18 HP
Nawashukuruni sana kwa michango yenu ya mawazo , kama nawe utahitaji nitakusaidia uipate
Picha zinagoma kupanda
Nahitaji power tiller Kubota ya kulimia kwenye mpunga ntajie bei ni shilling ngapi. Tafadhali nusaidieni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji hii power tiller yenye nguvu inayoweza kulima sehemu ngumu ngumu. Nafikiri iyo ya 12 Mpaka 15milliom itanifaa. Iyo ya 12 Mpaka 15 million . Sjajua ni za uwezo wake upoje. Sjajua wanaangalia cc au horse powerKubota full ni 12 - 15 mill, bila tela 9- 12 mill kwasasa, used 8 - 10 mill full. Ila kuna mashine muundo wa kubota kuna Toyo, Swami na Boa ni 7mill full na 5 mill bila tela.
Barafu la moto
Kwa huzi Kubota za 12 Mpaka 15 million huwa zina HP ngapi. Mi sio mzoefu Sana Ila nmeona zikifanya kazi mashambani.unaweza ukanisaidiaKubota full ni 12 - 15 mill, bila tela 9- 12 mill kwasasa, used 8 - 10 mill full. Ila kuna mashine muundo wa kubota kuna Toyo, Swami na Boa ni 7mill full na 5 mill bila tela.
Barafu la moto
Kubota zote ni horse power 14, hizo bei ni ikiwa bila tela ndio 12 mill ila ikiwa na tela ni 15 mill.Kwa huzi Kubota za 12 Mpaka 15 million huwa zina HP ngapi. Mi sio mzoefu Sana Ila nmeona zikifanya kazi mashambani.unaweza ukanisaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote zina HP 14 hizo bei ni ikiwa pekee ni 12 pamoja na tela ni 15. Zina lima vizuri sana na zinafaa kwa mazingira ya namna zote.Nahitaji hii power tiller yenye nguvu inayoweza kulima sehemu ngumu ngumu. Nafikiri iyo ya 12 Mpaka 15milliom itanifaa. Iyo ya 12 Mpaka 15 million . Sjajua ni za uwezo wake upoje. Sjajua wanaangalia cc au horse power
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaagiza hata chupi sembuse powetillerSasa ki power tiller kimoja ukiagize kutoka nje ya nchi wakati hapa vimejaa tena bei poa, kama si upunguani huo ni nini?
Huo niliompa ni muongozo tosha kabisa na msaada mkubwa kwa wenye kufikiri.
Wewe unamuongoza aagize nje, siyo?
Nashukuru mkuu. Ngoja nione ntafanyajeKubota zote ni horse power 14, hizo bei ni ikiwa bila tela ndio 12 mill ila ikiwa na tela ni 15 mill.
Barafu la moto
Kubota nzuri zaidi na ambayo inaweza ikadumu kwa muda mrefu ni ya aina gani?.Zote zina HP 14 hizo bei ni ikiwa pekee ni 12 pamoja na tela ni 15. Zina lima vizuri sana na zinafaa kwa mazingira ya namna zote.
Barafu la moto
Zote zinadumu ingawa zile za mikono mifupi sio heavy-duty kwasababu hutumika kuvurugia tu, lakini zile za mikono mirefu ndio nzuri zaidi na zinapiga kazi zote kwa usahihi na uharaka na huchukua mpaka miaka 3 bila kugusa injini wala gia box kama operator ni mzuri.Kubota nzuri zaidi na ambayo inaweza ikadumu kwa muda mrefu ni ya aina gani?.
asante, je baada ya kulima unaweza kuzitumia kupandia na kupalilia?.Zote zinadumu ingawa zile za mikono mifupi sio heavy-duty kwasababu hutumika kuvurugia tu, lakini zile za mikono mirefu ndio nzuri zaidi na zinapiga kazi zote kwa usahihi na uharaka na huchukua mpaka miaka 3 bila kugusa injini wala gia box kama operator ni mzuri.
Barafu la moto